Acha tamaa wewe mamlaka si mchezo!
Uongozi sio ivyo inamaana mbona jamaa
wa jembe na nyundo hawakumfanya
kuwa RI-spika! inamaana si kigezo kwao
kama ulivyo kwako wewe! anyway nakusamehe
coz kila mtu anatafsiri tofauti kwa mambo tofauti
lakini si kwa MASLAHI YA TAIFA! umenisoma wewe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.