Recent content by Imebidi

  1. I

    JamiiForums Tanzania James Ole Milya anafaa kugombea ubunge Arusha mjini

    Nadhani humtakii mema huyu mheshimiwa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Sabodo: Upinzani Hauna 'Presidential Material' wa Kushika Madarakia ya Urais wa JMT

    Unamwelewa tu akishawapa CDM mamilioni!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mwasisi wa CHASO, Deogratius Kisandu ajiunga na CCM

    Mwasisi wa CHASO ni Juliana Shonza na Emmanuel Mwakajila
  4. I

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mahakama kuhusu Bunge la Katiba

    Sasa kwa nini mlipeleka hii kesi?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: ACT-Tanzania ni chama kipya kinakuja kwa kasi sana, hongereni

    Vipi angesifia chama cha mfalme?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kukusanya Tirioni moja kodi ya serikali kwa mwezi

    Siku hizi mwigulu anakusanya kodi?
  7. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kimekua sasa kinaweza kupewa dola

    Kwa yale mazingaombwe ya uchaguzi? Wagombea wire wanaenguliwa anabaki mmoja ndio kukomaa huko? Hongereni zenu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kimekua sasa kinaweza kupewa dola

    Kwa speech ile ya Mbowe?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

    Si ndio maana tunataka ccm iondoke, mnataka kufanana nayo tena?!
  10. I

    JamiiForums Tanzania Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Maskini, mmebaki na majungu tu hoja hakuna. Watu wanadiscuss hoja, wewe unatumbukiza fitina. Ghafla CDM imebadilika kuwa jumba la wajinga. Poleni sana!
  11. I

    JamiiForums Tanzania ACT kufanya mkutano Ndago Iramba,ili kuhujumu CHADEMA

    Ehee hee, ndiyo mnafanyaga hivi? Endeleeni kufichua mambo.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kigoma waliomchukulia fomu Mbowe wawasili Dar

    Mazingaombwe ya kizamani sana haya!
  13. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Wivu, tena wa paka!
  14. I

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania na tunu ya demokrasia rasiliamali

    Hansen: Pole. Hawa wenzako wamezoeshwa kujadili matukio na watu. Ukilete hoja na sera lazima uambulie matusi. Polepole wataelewa lakini.
Back
Top Bottom