Recent content by imbuyah

  1. I

    JamiiForums Tanzania Raba kali za kijanja za Adidas Superstar Originals

    Size: UK 8, EU 42 Status: Original Rangi: Blue and White Material: Leather and Jeans Price: Ths 38,000 Contact: 0718 348822
  2. I

    JamiiForums Tanzania Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Hii Kali sana aisee... Ila ninacho amini ni kwamba muumba kaumba kila kitu kinachoonekana na kisicho onekana... Hayo mengine nakushauri tumuachie yeye ahukumu na kuhitimisha maana hata mtu akifa hakuna mtu alie hai anajua marehemu anapatwa na hali gani. Let our lord lead the way and put science...
  3. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO kushusha umeme kumesaidia wateja wa kawaida au bado hali ya umeme ipo pale pale?

    Well tunashukuru sana kwa hatua hii ya gharama za kulipa ankara ya umeme kupunguzwa, nimeona effect yake ambayo kwangu ni chanya kwani kazi zangu zinagharimu sana umeme.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habari ya muda huu wadau wenzangu. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara kwa kuanza na mtaji wa milioni mbili, sasa bado sijajua uhakika kamili kwamba ni biashara gani naweza kuanzisha na ikanipa faida nzuri kwa kiasi hicho cha mtaji. Ahsanteni...
Back
Top Bottom