Recent content by IMasong

  1. I

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Mhubiri anawaita watu kama wewe wapumbavu! Ujuaji usio na maana mbele za MUNGU na kama umetumwa na kuzimu kuharibu huu uzi nenda kawape ujumbe huku walokole tumejaa. Unakataa uwepo wa MUNGU na kuanza kumuinua shetana akidhani hatutakuelewa kuwa wewe ni wakala wa kuzimu. Ushindwe kwa jina la yesu...
  2. I

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Amen. Mungu anatutumia sisi wanadamu kuudhihirisha ukuu wake kwa namna mbalimbali.
  3. I

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Sasa wewe kama Islamic unajuaje kama wakristo wanamwabudu Mungu asiyefanana na wa kwenu? Kwanini mnapenda kulazimisha Mungu wetu na wa kwenu wafanene? Nyinyi mnalazimisha kuwa yesu ni nabii issa na sisi hatumjui huyo issa achenu kufosi ukristo ufanane na nyinyi.
  4. I

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Ee MUNGU BABA msamehe huyo mtu fahamu zake hazifahamu kweli yako, apate kujua kweli yako ili siku moja akushuhudie. Amen
  5. I

    Kulewa kwa kupitiliza kunataka kumfanya Baba yangu atake kustaafu mapema

    Msirudie tena kwenda kwa waganga wa kienyeji,,. Nakushauri kwasababu imani yenu kwa Mungu haijakua anzeni kufuatilia maambo ya mtume mwamposa operation komboa familia kila siku saa 3 usiku inarushwa live,. Aminini Mungu atamsaidia na kama kuna roho ya ukoo itakoma. Kwa yesu kuna uponyaji aminini
  6. I

    Rais Samia anavuna alichopanda, hana budi kuvumilia

    Mama kama unasoma huku mtandaoni,. Tunakuomba usiwachekee hawo watu wanaojiita wapinzani hawakawii kumwaga damu za watanzania ,. Tunakupenda sana ila hichi kikundi cha chadema wanataka kukudhalilisha mama wakazie
  7. I

    CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

    Kwa aina ya siasa hi ya CHADEMA waungwana watakaa pembeni waendelee na hawo watoto waropikaji., maana ni kuishiwa hoja na kubaki na matusi matokeo yake ni kuambulia jela na kuanza lawama kwa serikali ambayo kila moja anaona mama ana nia na katiba mpya na ni imani ya wengi mchakto utaanza kabla...
  8. I

    Hukumu ya Mdude Nyagali ni tarehe 14/6/2021

    Huo ni ukweli Huyo jamaa ni mshamba na hajui harakati, anashindwa kuwa na harakati za kisomi kama wengine
  9. I

    GODBLESS LEMA IMARISHA MAHUSIANO YAKO NA MUNGU

    Godbless Lema anaweza akawa anatumika na Mungu ila tu Watanzania kwa sababu za kisiasa hawatalielewa hilo. Kaka Lema endapo utasoma andiko hili, please imarisha mahusiano yako na Mungu kuliko utumishi wa kisiasa ambao siku zote umejaa lawama, sina maana uache siasa ila kitendee haki zaidi karama...
  10. I

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Wewe mtoa mada ndiyo mnafiki mkubwa sana wakati hayati anamkosoa JK hadharani nina maana JK hajafanya chochote kwenye awamu yake achane unafiki nyie vijana
Back
Top Bottom