Recent content by imasonda

  1. I

    Nini Ambacho Familia ya Mandela Imeficha Ulimwengu Katika Hatua ya Mwisho ya Mazishi

    Free mason ndo wanafany a hivyo angalia pia namba yake ya ufungwa gerezani,
  2. I

    Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha

    Nimesikitishwa sana na ubaguzi huu wa ajabu ndani ya mwaka 50 ya uhuru,hata kama madaraka yanatafutwa basi kwa namna hii tunakiangamiza kazazi,tusubiri tuone mkuu wa nchi kama atabariki haya na kama atamchukulia hautajali gani waziri mbaguzi wa kabila kama huyu,
  3. I

    Mufindi na umaskini wa kutupwa

    Ni thread nzuri ingawa kuonesha kuwa haturidhiki na viongozi waliopo ni kuwatupilia mbali na kuchagua viongozi wazalendo,sisi wanamufindi ni wakujilaumu kwani tuliwahi kumchagua mbunge mmoja na aliongoza miaka 40 bila jipya la kujivunia.
  4. I

    Barua yangu fupi kwa Mwalimu Nyerere (R.I.P)

    Your very clever,good job:becky:
  5. I

    TBC1 na habari ya kusafirishwa kwa Dr. Ulimboka

    nawaunga mkono makamanda wate hapa,hata ningeshauri yeyote anaetaka kutangaza biashara yake asitangaze na TBC kwani hakuna mtu ataona huko, TBC is dead kabisa.
  6. I

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    nahisi kama hizo bilioni 200 wanataka kuzichakachua kwa mgongo wa mgogoro wa madaktari,kwani si ndio kazi ya magamba,kukitokea disaster wao wanaplan kuchota hela kupitia mwanya huo.
  7. I

    Mazuri ya Edward Lowassa

    Licha ya matatizo yanayomkabili lakini nafikiri ni mchapakazi hodari sana hata kuliko waliopo sasa, huyu ni Edward Lowassa.
  8. I

    Nokia E7 charging problem

    mimi ninayo moja lakini imekuja na cable aina mbili za kucharge.so try the other
  9. I

    CCM Dar yampiga marufuku Samwel Sitta!

    mimi nampongeza sita,na hii ndio demokrasia ya kweli.
Back
Top Bottom