Suluhisho
3.ni kweli,nchi za Afrika,zikiacha kutegemea misaada ya wafadhiri, na kujitawala yenyewe,bila Shaka %99.99 tunaweza kupingana na matatizo yote,yenyewe tunaletewa. Uwezekano wa maadili ya kiafrika kuwa Bora,ni mkubwa zaidi. Kutokana na misimamo ya VIONGOZI walio pewa dhamana na wananchi.
Ndugu zangu nahitaji ushauri wenu, nipo DAR ES SALAAM. Nahitaji kuanzisha biashara, nina mtaji kiasi cha 1,000,000. Sasa sijajua ni biashara gani ambayo nifanye, lengo kwa siku nipate faida kuanzia 30,000.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.