Tulikuwa tuna sehemu yetu ya kucheze bens yaan maharage yaliyo banguliwa vipande vinne, sasa kulikuwa jamaa mbabe sana hapo palikuwa na shina LA mti ilio katwa ndio kili kuwa kiti chake , cku moja nikachukua miida nika izamisha kwenye lile shina jamaa alipo kuja kwa kujiamin akalia like shina...
Maisha yanaenda kwa kasi sana, muda nao una tuacha, wengine tuna tamani kuwa kama tulivyo Leo milele , turudi kwenye point, iko hivi ili kuweza kuwa baba bora was familia lazima ujifunze kuwa na UPENDO juu ya yote, kwanini nasema hivyo , upendo hauna chuki, upendo una uvumilivu ndani yake hau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.