Recent content by Imanilaison

  1. I

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Safi sana sherehe zingine zinapoteza tu pesa za walipa kodi. Ikiwezekana huu usafi usimamiwe na JWTZ ili watu wajue sio siku ya mapumziko bali usafi tu.
  2. I

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    kwanza ulipaswa kututajia kwenu wapi kabla ya kutuandikia upuuzi wako. Hizo hotel nzuri kwenye majiji unayoyapa credit ulijenga wewe?
  3. I

    Lowassa Afunika Iringa

    Wewe mzima wa afya?? Kuongea sana sio kwamba ndio utaeleweka sana mbele ya wapiga kura otherwise maneno yatakuishia utaanza kutukana na kukanusha uliyoyasema mwanzo.
  4. I

    Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    hujitambui wewe ila tarehe 26 october fahamu zako zitakufunguka utaelewa tu
  5. I

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    wewe jamaa ni muongo. Unadanganya kweupe hivi Sumaye aliingia tatu bora ipi hiyo kwa mwaka 2005. Hakufika tatu bora bwana
  6. I

    Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    usipende kucomment kama huna uhakika.
  7. I

    Arusha, Mbeya na Bukoba majimbo fukara zaidi tanzania - REPOA

    wametumia vigezo vipi? hawa hawatakuwa tofauti na REDET ya Udsm.
  8. I

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi asifiwa kwa kuleta maendeleo jimboni

    we jamaa inaonesha unapenda ligi ya ubishi. Usipokuwepo ufuatliaji wa kutosha wapumbavu huchakachua hii miradi haijalishi ni WB, IMF, AFDB, EU ya fedha za ndani. Je wajua kupitia kelele alizopiga sugu kuhusu ujenzi wa hizo barabara hasa ile iliyopita uzunguni ilifumuliwa na kujengwa upya kisa...
  9. I

    Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

    kuna mjinga mmoja kauliza kukaa uchi kunamuathiri vp mtoto, inaonesha hata akili yake imevurugwa huyu. Alichofanya Sugu hajakosea kabisa kwa ubovu wa maadili ya mama wa mtoto
  10. I

    Mengi akumbatiana na Rostam Aziz, Je huu ni mkakati wa team Lowassa kutaka support ya ITV?

    Wewe jamaa ni MCHONGANISHI na huitakii jamii ielewane kamwe. Hupendi watu wapatane Ili amani idumu.
  11. I

    Mbunge wa Zanzibar Kammaliza Tundu Lissu leo Bungeni

    Wengine humu mnajisikia tu kuandika utadhani mnatekenywa vile
  12. I

    Wasomi zaidi ya 100 wamejaa Nyumbani kwa Lowasa Dodoma asubuhi hii

    Sema wanafunzi na sio wasomi..wakidisco atawakumbuka?
Back
Top Bottom