Recent content by imani_amani

  1. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Taasisi zipi binafsi zinatoa mikopo?

    Bayport Japo riba sio nafuu Ila mkopo utapata
  2. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Movie na series unazozipenda

    Aseeee wadau Natafuta series flani ivi ilishaisha now Inaitwa glee Aliyenayo au anaejua jinsi ya kuiapata naomba anambie.
  3. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Katibu Wizara ya Afya tuombe radhi wataalamu viungo bandia

    Hiyo GPA ya 2.3 umeiona kwa nani?
  4. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Katibu Wizara ya Afya tuombe radhi wataalamu viungo bandia

    Nani kasema wamejificha Unadhani mhitimu yoyote aliyemaliza chuo badala ya kutafuta kazi ataenda kujificha namtumbo Ebu kua na mantiki
  5. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wako

    Sawa kaka
  6. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wako

    Nimemaliza form six mwaka huu. Nilisoma Cbg na matokeo yalipotoka nkajua nina credit ya 2.3 Nika apply chuo na makosa nliyofanya kwa maana nilikuwa jeshini na kuna mtu alinisaidia ku apply, yeye hakufanya consideration ya capacity ya vyuo na cutting point zake so nkakosa round ya kwanza ya...
  7. imani_amani

    JamiiForums Tanzania IAA hakuna mwanafunzi wa sayansi alietoka diploma kapata mkopo

    Kwamba wote wanaosoma IAA ni wachuga???? And even if that were the case, mambo ya siasa hayahusiani na social services. Tulio prefer ukawa rather than CCM ni mapendeleo yetu tu na wala hayahusiani na utaratibu wa serikali
  8. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Dell precision corei7,model 4600. tsh 1000000 tu

    Uko maeneo gani
  9. imani_amani

    JamiiForums Tanzania TCU fifth round opened

    Fifth round!!!!!!
  10. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Majimbo!?????!!!!!! Ivi umeupitia Uzi vizuri kweli
  11. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo cha KCMC

    Malazi ya hostel au wapi
  12. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo cha KCMC

    Daaaah ebu huo ugumu muufafanue kidogo manake......
  13. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo cha KCMC

    Wadau rejea kichwa cha habari hapo juu..... Mimi nmechaguliwa kujiunga na chuo cha kcmc nkasome bsc prosthetics and orthotics... Kwa walionitangulia hapo naomba ufafanuzi wa kina wa maisha ya pale campus
  14. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Inernet buree nimeipenda

    Ya Vodacom vp
  15. imani_amani

    JamiiForums Tanzania Open university of Tanzania

    Habari zenu wadau...... Kwa anae fahamu machache kuhusu open university of Tanzania naomba tupeane Maelezo.
Back
Top Bottom