Recent content by imani kanyoni

  1. imani kanyoni

    Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

    Watanzania tusubiri majibu,tuache hoja zisizo na mantiki Post sent using JamiiForums mobile app
  2. imani kanyoni

    Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Mungu anawaona hao wote wanaokula peke yao wakati taifa linaangamia kwa njaa na ukosefu wa ajira,
  3. imani kanyoni

    Ameamua kuniacha bila sababu sasa anataka tuuze nyumba tugawane pesa

    Huyo kijana hakuwa na na nzuri, lengo lake kukuchezea tu na kukufirisi then akuache ukihangaika,kitu cha msingi mpe hela yake aliyochangia uendelee na maisha yako, mme mwema anatoka kwa Bwana.hongera sana kwa msimamo ulionao
  4. imani kanyoni

    Askofu Mokiwa wa Anglikana agoma kujiuzulu baada ya kuvuliwa Uaskofu

    Jamani hapa hakuna cha Roma wala Anglican, wanatanguliza pesa badala ya wito.
  5. imani kanyoni

    Nguvu ya mwanamke

    Duuuu,kweli inasikitisha
  6. imani kanyoni

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Mtoto akifikisha miezi 6 muachishe,halafu jitahidi kumpa mlo kamili,ili kuokoa maisha ya mtoto.
Back
Top Bottom