Hii story inanikumbusha enzi zile niko darasa la pili wakati tunasoma vitabu vya Juma na Roza juu ya wahalifu waliojificha kwenye manyasi, mmoja alipoona wenzake wameuwawa kwa kupiga kwao kelele na yeye kwa kujua he was safe akapayuka kwa kusema "heri mimi sijasema". Sasa hapa hawa PM7 kama si...
Mungu wetu ni mwema! Mimi ndio kwanza nimejoin dakika chache zilizopita mara nasoma ukombozi huu wa dhati! Hongera kamanda Lema pamoja na makamanda wooote!
Hata hivyo nichukue fursa hii kusema hello kwa wana JF wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.