Recent content by ilyoto

  1. I

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, Mrisho Gambo waisindikiza Ndege Zimbabwe mpaka Zambia

    hapa kunatatizo kubwa sana, watu makini tu ndiyo wenye uwezo wa kuliona. Hapo magogoni mnasemaje?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aivua nguo serikali ya Magufuli huko Ughaibuni

    usihukumu usijeukahukumiwa...toa kwanza boliti kwenye jicho lako ndiyo utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako...sawa dogo!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kampuni kutoka China yashinda zabuni ya BRT awamu ya pili kutoka Kariakoo hadi Mbagala

    yupi huyo...au ni bw yule anayetajwatajwa sana siku hizi.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Umri wa Lowassa una utata mtupu. Eti ni mdogo kwa Kikwete?

    vipi unataka kumtafutia mchumba?. Kuna mambo kibao yanayohusu mustakabali wa nchi hii, wewe unahangaika na umri wa babu zako. Dogo nenda kafanye home work uliyopewa na mwl. wako.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ni kweli: Wengi tumevumilia maneno ya "kukatisha tamaa" kutoka kwa Rais wetu wenyewe, mwendo tunaumaliza na imani kwa utanzania wetu tumeilinda

    mmoja kaleta maumivu ni lazima apatikane mmoja atakayeyaondoa, je ni nani huyo. uovu (shetani) vs (Mungu).
  6. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa dola 20,000 kusaidia matibabu ya Ruge Mutahaba mkurugenzi wa CMG

    Mmh!... inaingia...inatoka. bado na tafakari labda nitapata jibu...
  7. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunalaani vikali Serikali kuwashikilia wanahabari

    :eek: Ooh !..my goodness ?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Rais Magufuli tusimpe vipindi 4 vya Miaka 10 akaendea kutuongoza?

    hapana hatuwezi kumtwisha mzigo huu kipenzi chetu JPM kwa miaka 40, huwe na huruma kidogo. miaka 5 inatosha kabisa.
  9. I

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

    and u stupidist
  10. I

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe akamatwa na Polisi kituo cha Oysterbay, ahojiwa na kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi

    utabiri wa hali ya hewa leo jioni; unaonyesha pepo kali zitavuma toka kusini mashari ya ziwa tanganyika kuelekea,....
  11. I

    JamiiForums Tanzania Pongezi (za awali) kwa CHADEMA kwa uamuzi mgumu dhidi ya Kubenea na Komu

    Mmh! inaonyesha unajambo binafsi na hao mabwana wawili, siyo bure.
  12. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaingiza magari mapya kwa ajili ya shughuli za uenezi wa chama

    big up CDM. tunazika wafu (waitara & co) tunasonga mbele.
Back
Top Bottom