Kampuni kutoka China yashinda zabuni ya BRT awamu ya pili kutoka Kariakoo hadi Mbagala

Kwa hiyo pesa ya uchaguzi tumekopa?
Ndiyo hivyo najua A to z tulikopeshwa mashariti ndiyo hayo tenda first priorities ni kwa raia Wa China hata nyumba za viongozi watakaokuwa Dodoma watajenga hao jamaa na kodi watachukuwa hao matajiri ya kichina
 
Hi
Vituo vilivyopo sasa hivi vya kariakoo kwenda mbagala viko below hiyo standard kituo hadi kituo haizidi mita 200 Na havizidi 14 uliza mkazi yeyote wa mbagala kusema vitakuwa 29 hapana
Huu mradi kwa km 20 , nahisi unavuka mpaka kongowe. Maana mbagala stendi ya sasa mpaka kkoo haifiki km20
 
Gari ni chache mnoo hii ya Ubungo-Kimara na population ya Mbagala sijui hali itakuaje.
IMG_20181207_205248_507.jpg

Say no more fam
 
VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
Haya mambo yanakera sana Mkuu.
 
Ilikuwepo MECCO enzi za mwl, kama ingekuwa hai mpaka leo nadhani wangekuwa na uwezo mkubwa sanaaa. Wajanja wajanja wakaiua sasa kila mradi mkubwa wa ujenzi inchini lazim ipewe kampuni ya nje!
 
Sidhani kama tunafikiria yote haya kitaifa. Nadhani ni kwakuwa NIA ya kisiasa ya kuyawezesha makampuni "halisi" ya ndani kuweza kushindana kwenye tenda za miradi kama hii haipo basi kuna kila dalili kuwa hali hii itaendelea. Maana bongo naona kila kitu muhimu kinahitaji uhusika kamili wa RAISI, Je ataweza yote haya kweli? -

Uwa ninajiuliza;

- hivi ni kitengo gani cha serikali kinachojiuhusisha na mipango ya kitaifa ya muda mfupi na mrefu?

- hivi ni vyama vya kisiasa peke yake ndio hutunga na kutekeleza(kupitia serikali) mipango ya kitaifa?

Kwa mfano, kwanini kusiwe na Kitengo maalumu cha Mipango ya Kitaifa, ambapo vyama vya kisiasa vitatoa baadhi ya wanachama wa hicho kitengo (wanachama wengine wakiwa ni wataalamu waliobobea katika maswala ya kupanga mipango ya kimaendeleo). Halafu wakati wa uchaguzi, vyama vya kisiasa vikabidhiwe mipango ya miaka 5, na vishindane katika kunadi mikakati ya utekelezaji wa mipango hiyo. Kufanya hivi kutatuwezesha kuwa na mipango endelevu - kinyume na ilivyo sasa e.g kilimo kwanza, hapa kazi tu ( viwanda ) .etc.
 
Ilikuwepo MECCO enzi za mwl, kama ingekuwa hai mpaka leo nadhani wangekuwa na uwezo mkubwa sanaaa. Wajanja wajanja wakaiua sasa kila mradi mkubwa wa ujenzi inchini lazim ipewe kampuni ya nje!

Inasikitisha - Tusipoamka, tutakuwa tunakopa pesa za miradi, na kuyanufaisha makampuni na nchi za nje. Kumbuka makampuni mengine ya nje yanapata support kubwa kutoka serikali zao, kama sio kuwa yanamilikiwa kwa sehemu na serikali hizo.
Inatakiwa miradi ya ndani ineemeshe ndani.
 
VP kampuni za wazawa? Je, hawawezi kufanya hii project? Je, tatizo ni ujuzi mdogo, elimu duni, uzoefu mdogo ama mitaji midogo ya wakandarasi wetu?

Kama tatizo ni ujuzi na uzoefu Mdogo, je kama nchi tuliwawezesha vipi kupata ujuzi kwenye phase 1 ya huu mradi?

Kama tatizo ni elimu mbovu, je kuna hatua gani zinachukuliwa na wahusika kurekebisha hilo?

Na kama tatizo ni mitaji midogo ya wakandarasi, je taasisi zetu za kifedha nchini zina msaada wowote? Na je, mfumo mzima wa upatikanaji mitaji kwa kampuni za wazawa kwa projects kama hizi upo vipi?

Je tunaelewa madhara ya kiuchumi kwa kuwa tegemezi kitaaluma?

Haya ni maswali ambayo kila mzalendo wa kweli anatakiwa kujiuliza.
Hiyo ilikuwa international competitive tender.
 
Wachina wameshinda tenda hiyo. Kampuni ya CCECC itapewa $160M. Itajumlisha urefu wa 20. 3km, flyovers 2, and 29 bus terminals.

Kazi itaanza mwezi huu December na kukamilika kwa miezi 36.

African develop bank ndiye mtoa hela.
Source : The Citizen

WA UBUNGO WANASEMA SHETANI MWINGNE AJA MBAGALA. UBUNGO WANALIA WANASEMA AFADHALI YA DALADALA ZA KAWAIDA. SIJUI UKWELI UKO WAPI?

=====

Dar es Salaam. China Civil Engineering and Construction Corporation has been awarded a tender to construct a $160 million second phase Bus Rapid Transit (BRT) project.

Construction of the 20.3km road would include two flyovers of 24m width and length of 150m each, 29 bus terminals, a control centre and a garage.

The project is expected to start this month and will be completed in 36 months.

Dar es Salaam Rapid Transit Agency public relations manager William Gatambi told The Citizen recently the project would start after finalising the compensation process to residents along Kilwa Road.

“We have so far paid 56 out of 105 people who are supposed to be compensated, “he said.

He said those that were yet to be paid were still opening their bank accounts so that the money could be deposited in their accounts. Others were completing some legal procedures.

According to him, so far there are no objections. People have been signing the affidavit forms for them to be paid so that they evacuate.

Reports show that African Development Bank agreed to issue $141 million for the project and the remaining funds will come from the government. With the growing population of Dar es Salaam, the government began to draw up plans for a rapid transit system in 2003. The government predicted the city population to grow to over 5 million by 2015 and invited the Japan International Cooperation Agency to design a master plan for transport in the city in June 2008.

A bus rapid transit and a metro transit system were proposed but the metro system was not approved due to the high construction and operational costs involved.

The project was placed under the Prime Minister’s office and a Dar Rapid Transit Agency (DART) was created through a government notice on 25 May 2007.[9] A 130 km bus rapid transit was planned to cover over 90% of the city’s population and the project was split into six phases due to the large investment required.[10] The initial project cost was financed by the world bank and the bank provided $180 million for the construction of the first phase
Naliona jina linakuja: barabara ya Mchina. Itakuwa mbovu kabla haijaisha.
 
Kwasasa daladala Kariakoo kwenda Mbagala ina vituo kama 17 au 18 hivi lakini DART watakuwa na vituo 29
 
Strabag International GmbH hawa jamaa wametupwaje?
Au waliboronga Phase 1?
 
Back
Top Bottom