Recent content by ilya mchele

  1. I

    JamiiForums Tanzania TANESCO, naomba kujua utofauti wa bei za unit za umeme inasababishwa na nini?

    Sasa kwann upande wa mteja kutoka tarrif 1 kwenda tarrif zero n mpka uandke barua? Kwann wasibadilishe wenyewe (tannesco) hawababilishi automatically?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zote Zinatoka Kwa Mungu Mwenyewe. Huwezi Kuwa RAIS Kama Haijapangwa Na Mungu. Urais Wa Rais Samia Umetoka Kwa Mungu Mwenyewe

    usibishane na huyo maana naona akili zake n mgando,
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zote Zinatoka Kwa Mungu Mwenyewe. Huwezi Kuwa RAIS Kama Haijapangwa Na Mungu. Urais Wa Rais Samia Umetoka Kwa Mungu Mwenyewe

    Kwahyo ata upande wa dhambi mungu ndiye hupanga mtu atende dhambi? Kama iko hivyo bas cku ya hukumu watu waovu hawatahukumiwa maana maovu yote aliyapanga yeye aliye juuu
  4. I

    JamiiForums Tanzania TFF Ni jipu linalotoa usha kila uchao.

    Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
Back
Top Bottom