Jf
Salaam. Jamani naomba kuuliza hivi muda wa kampeni kwa mujibu wa NEC umeishaanza? Leo nimeona diamond jubilee ni kampeni mwanzo mwisho. Hashimu Rungwe nae naona anafanya kampeni ITV kwa hivi sasa. Jamani kulikoni?
Makubwa, ila inategemea kasema hivyo akilenga nini. Na kusema ukweli kiroba kinanyweka sana hapa mjini. Kumbe watu wanavinywa wakijua wanajidharirisha?
Viroba ni bange iliyoyeyushwa.
Hivi kuna uhusiano gani kati ya kusikiliza nyimbo za wasanii na kufanya maamuzi sahihi? Hivi inabidi tuimbiwe nyimbo ndo tupige kura? Ole wake atakayepiga kura kutokana na kusikiliza nyimbo nzuri na sio sera nzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.