Recent content by ILOMO316

  1. ILOMO316

    Ni simu gani nzuri nayoweza kununua kwa bajeti ya 150,000/=

    kwa bei gan alafu unajuaje kama hii ps ya game
  2. ILOMO316

    Kwa bajeti ya laki mbili simu gani ni nzuri kati ya hizi?

    Hii attachment uloweka ndo huawei p20ro??
  3. ILOMO316

    Kwa bajeti ya laki mbili simu gani ni nzuri kati ya hizi?

    Asante sana chief maswali yangu unayatatua kwa wakati🙏🙏
  4. ILOMO316

    Kwa bajeti ya laki mbili simu gani ni nzuri kati ya hizi?

    Ila naangalia Samsung nyingi Zina superamoeled alafu hizi zingine LCP utofaut mkubwq ni Nini?ila note 10 huko wameweka display ingine sio amoeled hii inakaajae
  5. ILOMO316

    Kwa bajeti ya laki mbili simu gani ni nzuri kati ya hizi?

    Inayo kwenye app husika mfano twiter ila general sidhani ila kwa maoni yako kwa simu ya home button Samsung Kati ya Samsung a9 pro na c9pro ipi ni nzuri najua zote ni old version lakin napenda tu miundo yake je hizi zote mbili zitakuwa hazina nguvu Kama j7prime zilioachiwa hivi karibuni?na ipi...
  6. ILOMO316

    Kwa bajeti ya laki mbili simu gani ni nzuri kati ya hizi?

    Chief mkwawa nisaidie ndugu natamani kupata samsung yenye uwezo na muonekano kama wa c9 pro hususan kwenyae homebutton Kwan hizi za sasa full screen sio mpenzi je no Samsung gani yenye specification nzuri na Ina kuwa upgraded kwa haraka na kuwa na features Kama za recent phones kama dark...
  7. ILOMO316

    IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

    Samahani Mimi nimekuww mpenzi na Samsung zenye homebutton sana sana samsungc9pro naona specification zake nzuri lakin pia napenda feature ya dark mode iyo simu Haina je kuna Samsung Ina homebutton na ni latest version yenye features Kama za recent phone au inayo upgraded mpaka 10 CHIEF MKWAWA
  8. ILOMO316

    IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

    But kuna oneplus pro 8
  9. ILOMO316

    Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

    saada chief mkwqkwa kati ya android lollipop na marshmallow IPI mzuri maana nakuta watu wanalalamika wanataka kurudi lollipop kutoka marshmallow IPI nzur hapo nataka ninunue oppof1plus ambayo inaitwa r9 yenye lollipop5.1
  10. ILOMO316

    Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

    LA redmi note8pro dukan kwa 300 unaweza pata kweli??
  11. ILOMO316

    Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

    Redmdmi dukan au kwa MTU o iyo oppo zinazo
  12. ILOMO316

    Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

    kwa gcam oppo wanajitahid mfano wameitumia kwenye oppo f1plus yenye os lollipop5.1
Back
Top Bottom