Habarini wakuu
Nina uhitaji wa kuku wa mayai wenye umri wa miezi 4. Kwa anayeyejua mahali wanapouzwa naomba anisaidie pia kujua bei ikoje.
Ninatanguliza shukrani za dhati
Asanteni
Hongera Kwa mavuno mkuu
Nimejaribu kuangalia mapato kulingana na maelezo yako naona umepata Sana.
Mathalani, umevuna gunia 4 Kwa eka na kila gunia umepata Lita 20 ambazo umeuza Kwa bei ya 80.000. mapato yanaonekana kuwa ya kuridhisha
4*20*80000=6,400,000/=
Kwa ninavyofahamu gharama ya...
Na hapa inabidi majizi wote wa Kodi zetu na wanaofuja rasirimali za nchi wauliwe wote.
So long as wamekuwa suspected wauawe, hakuna haja ya kupelekwa mahakamani kwani wahalifu kwa viwango vyote wanatakiwa kuuawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.