Hii nzuri sana ingekuja na huku coz huku mtu akijisikia kuacha hapa akaoe pale anaenda tuu...Mkono wa Serikali upo mbali. Tungetakiwa kupata vibali viwili vya ndoa...Serikali na Dini...
Aone aibu ya nini kwani ni yeye kajiweka huko si amepelekwa!!! Pili yeye mwenzio ashakula shavu sanaaa hata hapo bado anakula shavu....Je wewe?? Kila kiongozi anastyle yake ya uongozi....anastyle yake ya uteuzi.....Magufuli kwake inaelekea si ladies first....yule tunajua mtu wa kanda ya...
hapo ni mwanzo wa mabadiliko bado tutayaona zaidi...Bado taasisi nyingi za Umma wakuu wake hawajabadilishwa siku nyingi.......Naamini Rais ndio analifanyia kazi step kwa step...Ukiwa mkuu ktk taasisi moja kwa muda mrefu huleta kufanya kazi kwa mazoea kwa wafanyakazi na wafanyakazi kujua kumsoma...
Acha ya rais hata wewe raia wa kawaida usipo jichanganya na wengine kuna hasara yake kama unafanya biashara ya kusaka pesa....SOMA ADVANTAGES ZA INTERNATIONAL TRADE TUU JAPO KWA UCHACHE ZITAKUSAIDIA.
Alipigiwa kelele kwasababu hakufanya kwa kipimo....lakini sio ndio kukataa kabisa kusafiri...Ushirikiano na Viongozi wenzako ndipo utapata mawazo mbali mbali
nahisi wewe itakuwa huna ujirani mwema ndio maana hujawahi pewa lift....ila ukikaa vituoni utaona magari mengi tuu madogo madogo yanasimama na kumshusha mtu hasa mida ya asubuhi... hizo zote hivyo ni lift....
Maofisini wengi wakitoka wanategea lift za wenzao hadi sehemu fulani...
Sisi sio kisiwa....Ukishirikiana na wenzio ndipo nao watashirikiana nawe...Wewe baba hupendi kwenda kwa mwenzio na unapiga marufuku unategemea nani atakuja kwako....
Kila kitu kikikosekana huwa kinaathiri kingine....Magari ya mikopo yakikosekana LIFT zitakosekana, watu wa dalalada wataongezeka hivyo kupelekea kuwa na msongamano wa abiria vituoni....Mtajazwa katika daladala hadi katika buti...sababu watu wamekosa hela za kununua magari yao binafsi...
Ufinyu...
Ila mimi huwa wananikera hawa viongozi ni pale wanaacha hadi mtu kafikisha jengo juu ndipo wanakuja mbomolea...Kwanza hapo ni kumkatisha mtu tamaa, pili ni kupoteza ajira za watu kibao sababu ktk jengo kama hilo pengine ni hoteli au nyumba za watu zingeajiri wafanyakazi wa ndani wangapi, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.