Recent content by illest prince

  1. I

    Maison club

    Huwa naenda mara moja moja nikiwa $500 ya kuchezea. Ila kuna vijana pale aisee hatari, kila Jumamosi wapo na wanaorder bottle service za milioni 2 kwenda juu. Siwataji majina ila mtu yoyote mzoefu wa pale anawajua maana ni balaa. Sijui wanatoa wapi pesa wale.
  2. I

    Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

    Tafuta website ya www.thestudentsbuzz.com Uweke post yako pale. Ndio website mpya kwajili ya wanafunzi bongo. Hakika wakuu wataiona na kukusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. I

    msaada kozi nzuri kwa tuliosoma HGE of EGM

    Tafuta website ya www.thestudentsbuzz.com Uweke post yako pale. Ndio website mpya kwajili ya wanafunzi bongo. Hakika wakuu wataiona na kukusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. I

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    kweli mzee..salute kwako messi ndio messiah wa football
Back
Top Bottom