Habar zenu
Tafadhali naombeni ushaur wenu
Nimepoteza cheti cha form four muda wiki hii sasa kabla cjaenda kurupot polis nimepigiwa cm mahali nikafanye interview na nikafanya tu kibahati nikawaeleza nimepoteza chet wakanielewa
Sasa wameniambia nifatilie walau nipate cheti namba ili wahakikishe...
Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale,
Nashukuru nilileta uzi wa kutafuta mume,Mwanaume aliye tayari kuwa mume baadae aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious wanauhitaji, wengine sikuvutiwa nao, wengine hawakunivutiwa na mimi.
Ila Nashukuru nilibahatika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.