Kwa tunaomfahamu huyu mama hatupati shida kwa hizo kelele zenu za kumuita mwizi.Uwezo wake ni mkubwa hakuna wa kupinga hilo!! Kikubwa ni siasa za maji taka ndio zilizotumia nguvu kubwa sana kumchafua huyu mama!!!
Hofu kubwa walihofia kwa Kasi na uwezo aliokuwa nao....akizidi kupaa juu kisiasa...
Akichangia bungeni juzi proff tibaijuka amesema " si vyema mgawanyo wa rasilimali katika wilaya uwe sawa!!" Kikubwa ni kuangalia population na ukubwa wa eneo.
AKITOLEA Mfano wilaya ya muleba hususani jimbo lake la muleba kusini lenye kata 25!!!JIMBO Ambalo naamini kwa sasa ndio jimbo lenye kata...
Kiwanda cha Viroba kimefunguliwa Nshamba Muleba. Haya ni maendeleo au mwisho wa vijana wetu. Jamani Mhe Rais Magufuli tuokoe.
Piga marufuku viroba vyote bila kujalisha kama vinatoka ndani au nje ya nchi. Penye viroba hapana kazi yoyote itafanyika. Waziri Mwijage fuatilia. Viwanda vyote vya...
Kiwanda cha Viroba kimefunguliwa Nshamba Muleba. Haya ni maendeleo au mwisho wa vijana wetu?
Jamani Rais Magufuli tuokoe, piga marufuku viroba vyote bila kujalisha kama vinatoka ndani au nje ya nchi. Penye viroba hapana kazi yoyote itafanyika.
Waziri Mwijage fuatilia viwanda vyote vya viroba...
Kwa mtazamo wangu sidhani kama hili swala la karo elekezi linawezekana......kwani tution fee itakuwa ndogo.....ila ukiangalia gharama za maradhi na chakula sidhani kama hapo kunaweza kuwa na mjadala!!!!
Katika shule zilizo bora....mtoto anakula milo minne!! Anapata matunda,maziwa nk.....
Maradhi...
Wadau,
Nimeliangalia hili swala la waheshimiwa kufunga mageti ya ofisi saa moja na nusu wakati miundombinu yetu ni ya kutumia masaa manne kwa mwendo wa km 1! Kwa maoni yangu naona si sahihi kabisa!
Kikubwa si umefika ofisini saa ngapi bali kikubwa ni kuangalia mtu kafanya kazi masaaa mangapi...
Hawamu hii Waziri WA Elimu lazima awe Proff......So ni swala la kuangalia katika bunge kuna ma proffesa wangapi ambao hawajapata wizara........then jibu la wizara hiyo litakuwa limepatikana.Ni mawazo Tu.....
Monday, December 14, 2015( Source" MPEKUZI") Serikali Imetoa Waraka wa ElimuBure......Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure (HIZI SHULE 11 AMBAZO WAZAZI HAWAJAHURUMIWA NI KWA NINI?? NA JE MWANANGU KUTOKA HUKU KWETU KIJIJINI ANAWEZA KUJA KUSOMEA HAPO??!!! NI MAWAZO...
WADAU TUJARIBU KUJIKUMBUSHA YALE YALIYOSEMWA NA MH LUSINDE KATIKA BUNGE,,KIPINDI AKICHANGIA JUU YA SAKATA LA ESCROW!!! NI VEMA MH ZITTO AKAZIJIBU TUHUMA HIZI KABLA YA KUHUSIKA KATIKA KUMSAFISHA MUHANGA YEYOTE YULE ALIYEKUMBWA NA SAKATA HILI!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.