Recent content by Ilankunda1234

  1. Ilankunda1234

    Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Njoo uone huku yanayoendelea huku kanda ya ziwa Wa baba wanakimbia familia kama utadhani waliolewa wao
  2. Ilankunda1234

    Wa-Sri Lanka Ndani Ya Makazi Ya Rais

    Ingekuwa bongo Mpaka wanatoka watu washachomoka mpaka na vigae Baada ya kufika humo ngumi za kugawana vilivyomo zingefuatia Kuna mtu angetamani hata alifiche kochi kwenye shati
  3. Ilankunda1234

    Kumiliki gari na kukosa hela ya mafuta ni dalili ya ukichaa

    Hiyo akili ni ya kiume Hivi unawaza anaweza kuwa nayo akili ya namna hiyo kwe mleta bandiko?
  4. Ilankunda1234

    Kumiliki gari na kukosa hela ya mafuta ni dalili ya ukichaa

    Naomba Mungu alieleta hili bandiko asiwe mwanaume aseee Maana kwa akili hizi wa kuhurumia watakuwa wengi
  5. Ilankunda1234

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naanza kuona wakimbizi wa ulaya wakija Afrika kwa kichaka cha utalii
  6. Ilankunda1234

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huyo jamaa ana undugu wa kihistoria na wa ukrein ndio maana unamuona anachofanya
  7. Ilankunda1234

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Inasemekana vita ikiisha ukrein itakuwa imeingia levo za kufilisika Upumbavu wao utawagharimu
  8. Ilankunda1234

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naskiaga tu habari za kubeti Ila kwa hili naomba nionueshwe namna kuziona ods niweke mzigo wa maana.
  9. Ilankunda1234

    Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Twende zetu aseee Nimepitia kwanza hapo Afrika kucheki ujinga wa viongozi wa Afrika kwa sasa kuamini kijana kuwa na akili ni kosa la uhaini
  10. Ilankunda1234

    Waoga wanavyoharibu nchi

    Ndugu yangu Afrika ndio bara pekee ambalo viongozi wooote ni wapumbavu na mawakala wa shetani Kwa sasa kijana kuwa na akili nchi yoyote ya Afrika ni kosa la jinai
  11. Ilankunda1234

    Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Kati ya maeneo wanaume wamekuwa wapumbavu no hii kanda ya ziwa asee
  12. Ilankunda1234

    Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Ukidai haki timiza na wajibu Kabla hujalaumu jitathmino kwanza
Back
Top Bottom