Recent content by ilambona

  1. ilambona

    DEADLINE INAFIKA, YAMEBAKI MASAA TAKRIBANI MATANO (5) TCU HAMJANITUMIA CODES.

    Duu fanya uwapigie simu may be wanaweza kukuweka kwenye second selection Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ilambona

    DEADLINE INAFIKA, YAMEBAKI MASAA TAKRIBANI MATANO (5) TCU HAMJANITUMIA CODES.

    Wale wa SUA wenzangu baada ya kucomfirm na nyie kwenye profile inawaandikia hivi🤨🤨🤨🤨[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ilambona

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    Baada ya takriban masaa 10 kuwapigia sua bila majibu hatimae muda mchache uliopita nimetoka kuongea nao nikawaaeleza kila kitu amina mungu ametenda miujiza wameniambia kuwa tayari nimesha comfirm so nisubir muda watatoa majina Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ilambona

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    Ok ngoja nisubir wa sua mwenzangu japo najua pale tayar labda wao hawaleti hayo maneno Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ilambona

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    Chuo gan iko kaka maana sua wao mm naona inafunguka tu ilo neno hata silioni Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ilambona

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    NAHITAJI MWENZANGU ALIEKWISHA COMFIRM SUA TUELEZANE PROFILE INAANDIKA VIPI KWA SASA TOFAUT NA MWANZO ULIPO KUA UNAKUTA ULE UJUMBE UOMBAO CODE Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ilambona

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    Kwa io sasa ivi ukilog in kwenye hio account inakuandikia nn? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ilambona

    Swala la TCU codes bado ni Kisanga japo nimefanikiwa kupata codes

    TCU wamenitumia code saa 23:59 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ilambona

    Swala la TCU codes bado ni Kisanga japo nimefanikiwa kupata codes

    Naomba kukuuliza ndugu hiv ukiweka io code na ikakubali kwenye chuo umecho chagua profile yako inatakiwa iandikeje yan?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ilambona

    TCU Code Zinakuja Kwa usafiri Gani??

    Tcu wamenitumia code muda huu na nimeiweka SUA imekubali sasa nawaza mbona sua wametoa first batch tayari[emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ilambona

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    Afu nikiingiza hio code inakataa na kusema kua Applicant not found in multiple admission hali kua jina langu limetokea SUA na Mipango dodoma duuu kweli BONGO NYOSO Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ilambona

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    Daaa roho imeniuma sana kaka yani code napata saa sita usiku kesho mm nitawapigia SUA Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ilambona

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    Asee mm ndio sms toka tcu inaingia muda huu duuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom