Recent content by Ilakwahhi

  1. I

    JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    hii post imeonekana ni ya kitambo saana but imeeleza ukweli mtupu maana UKAWA ambayo tuliona kama ndo mkombozi wa wengiimegubikwa na uchu pamoja na tamaa kubwa ya madaraka na kwa hali hii watawaachia tena CCM miaka mitano jambo ambalo kwa wanaharakati na wakerketwa kama mimi cjalifurahia hata...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza Online E-library

    Hongera mwenzetu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Ni wakati muafaka kwa Watanzania kukataa rasmi ushoga kupitia katiba mpya inayoandaliwa bila kuogopa chochote kwani ushoga ni kinyume na maandiko matakatifu na pia kinyume na utamaduni wa Mtanzania.
  4. I

    JamiiForums Tanzania USHOGA nchini: Tuangaliane machoni sasa!

    Tuwafundishe wazungu maadili mema waafrika tunamjua Mungu,tusikubali machukizo hayo wabaki nao ulaya.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba: Kutokuonyeshwa kwenye TV Live ni hujuma kwa watanzania

    Kutoonyesha bunge la katiba ni ukiukwaji wa katiba iliyopo ya nchi hii, ni vema basi serekali ikafahamu kuwa kuwanyima raia haki halali ya habari pia ni ukiukwaji wa haki za binadamu, maana yake ni sawa na mtu aliyeko mahabusu hawezi kujua yaliyo nje.Ccm siku zenu zinahesabika 2015 si mbali.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba: Kutokuonyeshwa kwenye TV Live ni hujuma kwa watanzania

    Ccm wanaendeleza mfumo wa chama kimoja Watanzania tuwang'oe 2015 angalao wakae bench kwa miaka mitano.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa landscaping

    Wewe uko wapi maana wataalamu wapo wengi kama Mimi nipo Arusha na bei ni maelewano tu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtakatifu Valentine (Siku ya wapendanao) ni Fahari kwa Utetezi wa Imani ya Kikristo.

    Baba yetu wa mbinguni endelea kutufungua.
Back
Top Bottom