Recent content by Ikwanja

  1. Ikwanja

    Nimeoteshwa huyu Waziri Kipenzi kwa ' Vijana ' hapa Kisiwani Puerto Rico hayuko mbali ' Kutumbuliwa ' na Mteuwaji!

    atakuwa amepata ubatizo wa moto kama mzee marope alivyoshadidia
  2. Ikwanja

    Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

    Htujawahi kuwa na naniliu wa ajabu kutokea
  3. Ikwanja

    IGP Asikitishwa na Salamu ya Askari wake aliyotoa ya ‘Kidumu Chama cha Mapinduzi’

    UVCCCm bwana, kuna wakati mnatiaga huruma sana
  4. Ikwanja

    Polisi asema "Kidumu chama cha mapinduzi" Wakanyaga katiba kwa kufanya siasa wazi wazi

    Kesho utasikia ndo anakuwa IGP, naona Siro tumbo joyo
  5. Ikwanja

    Nani Kamteka Mo Dewji? Uchambuzi wa Kiintelijensia Kwa Kutumia Mbinu ya "Devil's Advocate"

    Kama, dab anahisiwa kuhusika, basi wakubwa wengine wanajua, hivyo serikali kuhusika ni asilimia kubwa, maoni yangu
  6. Ikwanja

    Kuelekea miaka mitatu ya Rais Magufuli: Tuliomshabikia na kumtetea sasa tunaweza kumkosoa, kuna mahali anatuangusha

    Well said, na kwa bahati mbaya zaid tuendako ni mbali zadi kuliko tulikotoka. Katibu Mkuu wa chama na Waziri mkuu kwa mbali wamenza kuona, hilo japo wanakuwa na hofu na ajira zao. Kwenye uchaguzi ujao tutaona maajabu mengi zaidi, morali ya wapiga kura wakati wanaokataliwa ndo wanapewa ni shida...
  7. Ikwanja

    Mwanza: Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge

    huyu atakuwa kapata mgao wa rambi rambi, Kwa hiyo hzi lawama ni kwa CDM, lakini kwa magufuli aliyekuwa nakunywa chai sawa sawa. Hizo rambi rambi zitawatokea puani siku moja
  8. Ikwanja

    Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

    Tanzania nchi ya amani walinzi wa nini. Hii itakuwa kuna kitu kawagusa ccm
  9. Ikwanja

    Pole sana Nape Nnauye Mkao wako Unaonyesha unavyoporomoka kisiasa kwasababu ya wahamiaji

    Mbona jamaa wote hapo wantia huruma sana, au wapo kwenye msiba?
  10. Ikwanja

    Madiwani CHADEMA Rombo wakimbiza mwenge

    Hivi mmwenge una kitu gani cha maana hadi wanatu wanaulinda na binduki? au ni serikali wamekuwa ni waoga sana siku hizi kwa watu wanoawatawala? naona hata msafara wa jiwe binduki ni balaa
  11. Ikwanja

    Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu acheni kufanya kazi kama gazeti au chombo cha propaganda

    Kuna siku, tutaambiwa rais amenunua suti mpya kwa kujikomba huku
  12. Ikwanja

    Tundu Antipas Lissu akikabidhiwa nakala za Sera za Chama na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe Patrick Sosopi leo nyumbani kwake Tienen, Brussels

    Mmeanza kumtetea jiwe, kwa hilo hachomoki. Huwezi kuwa amiri jesh halafu nadani ya nchi kuna wasiojulikana, halafu kamera zinang'olewa
  13. Ikwanja

    Mwandishi wa habari Francis Godwin apata tabu sana Iringa

    Happy haijui Iringa, aulize kilichomkuta Kleruu
Back
Top Bottom