Recent content by IKUZI

  1. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA,dhambi hii itawatafuna katika uhai wenu,mwanaisasa huyu amewakosea nini?

    mbona mnazidi kujivua nguo? kwann msidai na mnara wa mzee Bob makani ujengwe? siasa imewashinda mnapaswa kubeba vyepesi mkalime!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Upinzani huu wa CHADEMA ni mfano wa upinzani wa nchi gani za kiafrika

    kujibizana na mtu mjinga kama ww wote tutakuwa wajinga! anyway meli iliyosajiliwa tanzania imekamatwa huko pwan ya italia na tani30 bangi, aibu nyingine hiyo!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Upinzani huu wa CHADEMA ni mfano wa upinzani wa nchi gani za kiafrika

    tehteh! pro-ccm bana mnafurahisha sana hata mama yako akiona umeandika hivi atasikitika sana na kusema sina mtoto
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naibu spika: Kumpiga askari wa bunge, Sugu atafikishwa kwenye vyombo vya sheria haraka

    mdomo huo unanuka uvundo sana!
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ni madhara gani hayo yanaweza kutokana na mswada wa sheria ya marekebisho ya katiba?

    hoja yako ingekuwa na maana tu pale ungefuata kichwa cha mada yako! otherwise kichwa cha topic yako kilikuwa kizuri ila ulivotiririka ni uharo tu.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mustafa Mkulo atoka mbio kukwepa ghadhabu ya wananchi Dumila

    wawakilishi wa aina ya mkulo ni majanga kuwarudisha bungeni! binafsi sioni kazi anayofanya huyu zaidi ya kuona kipara kiking'aa tu mle ndani!
  7. I

    JamiiForums Tanzania January Makamba azidi kuipa presha CHADEMA

    namuomba mungu anichukue kabla sijashuhudia upumbavu kama huu ukitokea nchini.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe anusurika kifo mara tatu

    Nahisi harufu ya ujumbe kwenda kwa shibuda hapo
  9. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; Fuatilieni Trend hii na Kuweni Makini Zaidi

    tahadhari nzuri hii!!
  10. I

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa CCM - wakimbia mdahalo wa ITV leo kuhusu vikosi ndani ya vyama vya siasa!

    Mwambien mwigulu ajibu kile kikofia alikipata wapi? Na kama itakuwa hapahapa kwanini aanze kukivaa baada ya kutoka china? Mkubali tu mmekabwa koromeo!
  11. I

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa CCM - wakimbia mdahalo wa ITV leo kuhusu vikosi ndani ya vyama vya siasa!

    Duh! Kama ndio alikuwa huyu ni halali yake kula kona!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kipimajoto ITV: Green Guard, Red Brigade na Blue Guard katika vyama vya siasa

    Ni afadhali kujadiliana na mtu wa darasa 7 kuliko huyu msajili aliepo studio, hajui anachoongea
  13. I

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete unaogopa nini kuunda tume kama serikali yako haihusiki?

    Kati ya cdm na serikali ya maccm anaeweweseka nani, rais anajua hii tume inaweza ikaivua nguo serikali ndio maana anasita na nyie mnashabikia bila hata kufikir!?? Njaa mbaya kuliko zote ni njaa ya akili!
  14. I

    JamiiForums Tanzania KUHUSU Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 'kushikiliwa polisi'

    Umunikuna na maneno yako ya mwisho pokea like yangu mkuu!!
  15. I

    JamiiForums Tanzania KUHUSU Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 'kushikiliwa polisi'

    Team buku7 imeanza kazi!!! Mtakufa vifo vibaya sana
Back
Top Bottom