Kinacho nisikitisha wananiambia niende Handeni Nikafungue kesi,,Najiuliza kesi ya nini,,,maana niliuliza tu kuwa kama ile umeme vijijini wa Tsh 27,000,,ulifutwa? jibu lilikuwa rahisi ndio umefutwa,au hapana haujafutwa,,,nakama haujafutwa kwanini mimi nimechajiwa Tsh 842,676.70? wangenijibu...