Recent content by ikonongo2019

  1. ikonongo2019

    Mzimu wa marehemu Aquilina waendelea kuwatesa viongozi wa CHADEMA

    Asante tumekusikia nenda kasaini Posho yako iko tayari!
  2. ikonongo2019

    Sauli na Al Saedy vinara wa ligi ngumu ya Dar es Salaam - Mbeya

    No signal, panda bus ndo utajua hayo madude pamoja na hivyo ving'amuzi hakuna kitu yakute Ruaha huko uone yanavyopepea
  3. ikonongo2019

    Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

    Hapana nyie ndo mnamkatisha rais na maneno yenu ya uongo uongo ,Mwelezini Rais ukweli,Mwambieni huduma ya afya kwenye hiyo hosp ni mbaya huoni kila mtu analalamika? au mpk na ww upoteze mmoja wa wanafamilia yako hapo??? Akienda Rais akakuta mambo hovyo mtasemaje?? Na imewahi kutokea
  4. ikonongo2019

    Msaada kujua ni madini gani haya

    Bei zikoje sokoni?
  5. ikonongo2019

    Msaada kujua ni madini gani haya

    Ukiangalia kwa juu yanaonekana yana rangi ya kijani
  6. ikonongo2019

    Msaada kujua ni madini gani haya

    pembezoni mwa mto
  7. ikonongo2019

    Msaada kujua ni madini gani haya

    Wakubwa msaada wa kujua haya ni madini gani. Ninayo kama kilo moja hivi.
Back
Top Bottom