Utaratibu wa bodi bado hauja kaa sawa. nadhani mambo yamkuwa mengi baada ya amri ilio tolewa na Mh. Rais JP Magufuli, yakuwa kila mwanafunzi apate mkopo. walio appeal ni wengi hivyo wote kuingia kwenye mfumo ita chukua muda kidogo.
Na sio vyuo vyote visha pokea boom la awamu ya pili hadi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.