Ha ha ha ha ha ha Nimecheka sanaaa....
Ila tabia ya ubaguzi huwa haiishii njiani.
Baba wa Taifa alituonya akasema mtu akiianza ni sawa na kula nyama ya Mtu, itaenda mbeeele sana.
Viongozi wote wa CCM hawajui pa kuanzia maana hawana dira ya Taifa letu. Wameingia kwa bahati za hapa na pale. Wanasubiri bunge likae wakasikie dira ya kambi ya upinzani waizomee, ila wakitoka ndiyo wanaanza kutekeleza taratibu.
Mkisaidia taifa mtakufa au, hamna vikao vya kitaalamu kwa...
Kijana tumekupa ukweli, tumetosha kujadili yasiyo na manufaa kwa sasa. Tunajikita na kuiondoa ccm madarakani ili Tuongozwe kwa katiba yetu wananchi.
ACT, CCM na washirika wengine endeleeni kukisaidia ccm kupigana nasi wananchi wa UKAWA. BYE
Kijana tumekupa ukweli, tumetosha kujadili yasiyo na manufaa kwa sasa. Tunajikita na kuiondoa ccm madarakani ili Tuongozwe kwa katiba yetu wananchi.
ACT, CCM na washirika wengine endeleeni kukisaidia ccm kupigana nasi wananchi wa UKAWA. BYE
Hakuna nchi inayoendeshwa Kwa maazimiao Dunia hii, Azimio la ARUSHA lilishindwa kwa sababu mambo yaliyokuwemo humo hayakutiwa kwenye katiba, ambayo ndiyo Mwongozo mama wa maazimio yote.
Sasa hiyo kiki yenu ya kuiga kila jambo bila kujua kwa nini ilifanyika wakati ule na nini hitaji la sasa...
Tatizo la ACT Woote na waasi wa vita ya kumwondoa mkoloni ccm, ni Kujiona WANAAKILI NA MAARIFA SSSANAAAAAAA KULIKO WATANZANIA WOOOTE.
Hiyo ni dharau ya pekee ambayo wananchi wanawahukumu nayo kwa kuwapuuza nyinyi na akina Lipumba, Slaaa, Zitooo, NA WENGINE WEEENGI WA KUFANANA NA NYINYI.
Wananchi tunalijua suala la Richmond kuliko mungu mtu wenu Zitto na Slaa
Hatumsubiri wala kumsikiliza Mbowe kuhusu mustakabali wa nchi yetu. ACT tunawajua kabla na baada ya uasi wa UKOMBOZI wa Taifa kutoka ccm waliokataa kuuvunja mzizi wa MAOVU yote kupitia mworobaini wa KATIBA YA WANANCHI...
Tatizo la Siasa za wapinzani wazalendo wa ACT, SLAA, LIPUMBA ni wapinzani wa Chadema na kuungana na ccm kwa mgongo wa chama pinzani mbadala.
Halafu sijui kwa nini hawafikilii na kupata majibu ya kwa nini wananchi wanaunga mkono UKAWA na kuendelea kuwapuuza hawa wanaojiita wazalendo! Wananchi...
Tunaisubiri UKAWA ya waroho wa madaraka na watu wapenda misifa wakiongozwa na mzee wa roho ya Nyama slaa, na kuungwa mkono na m
kijana wa maigambo Zitto kijana anaeona anaaili kiko wanadamu wote Tanzana.
Akina Zitto na ccm yao wanadhani hata wakimchomoa Mbowe leo UKAWA itakufa.
Imeulakwao
Ukawa ni fkra zinazoishi.
Umaarfu wa mtu wa kijina ndiyo umesabaisha akina Zitto nawengine kutaka kuyumbisha ukomboz wa taifa kisa hawajapewa wao kuongoza na wakaamua kuwapoteza watanzaniaili mladi tuu...
Uko sahihi kuuliza swali lako la msingi.
Kwa msaada wako na wengine wa kufanana na wewe ni kwamba. Kila jambo hufanyika kwa wakati muafaka na sababu chanya nyingi kwa wakati huo.
Kabla ya kuuliza jambo linapokutatiza, jaribu kufikiri kivingine kwanza ili uone kama majibu yako yatakuwa chanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.