Recent content by IKINGO

  1. I

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

    Kwani akidi ya CDM iliyotimia ilihitajika wajumbe wangapi na CCM ilikuwa na wajumbe wangapi?.
  2. I

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

    Kuwa na akili basi, ni kweli kabisa wewe hujui anayesimamia katiba za vyama kiserikali ni nani?.
  3. I

    Wana CCM tusisikilize chochote hata kama tulikosea, Mgombea wetu ni mmoja tu

    Huu ni mtihani mzito saaaana kwa MSAJIRI WA VYAMA ambaye anaonekana wazi ni Double standard practicer.Mfupa mgumu mno kuung'ata huo.Ingekuwa ni CHADEMA wamefanya hivyo basi angeitisha mpaka na waandishi wa Habari kuichambua katiba ya chama.
  4. I

    Tetesi: GE2025 Hanje Nusrat (Mrs Kitenge) aongoza Kura za maoni Singida Mashariki

    Kura zipi anazoongoza yeye hata majina hayajarudi kwa ajiri ya kupigiwa kura??..Yeye anaongoza kura za mitandaoni au tone tone?.
  5. I

    PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    SOMEBODY Songe ni alikuwa mbunge kutoka jimbo la BUSEGA.Huyu pia harudi hata kwa radi hawezi rudi mjengoni.Arudi Milambi akavue samaki.
  6. I

    Hili punguzo la wafanyakazi wa idara ya ulinzi kampuni hii linakubalika ?

    Kampuni kufanya retrechment cyo jambo geni hata pale Bulyanhulu Gold Mine mwaka 2017 kilifanyika kitu kama hicho lkn issue iko kwenye Je kampuni inaachanaje na Mwajiriwa wake!!!!!.Barrick by then ACACIA waliachana vizuri mno na waliokuwa wafanyakazi wake kipindi cha zahama yao na RAIS WA KIPINDI...
  7. I

    Kifo cha mende kwa chama cha siasa

    Nakumbuka aliwahi kuhojiwa Mzee SITTA (marehemu )Kuhusu SERA ya elimu bure iliyokuwa inahubiriwa na CHADEMA,Aliulizwa kuhusu suala la kutoa ELIMU bure kuanzia chekechea hadi kidato cha nne, MZEE SITTA alipinga sana na kusema hilo jambo haliwezekani.Lakini sasa hivi elimu ni bure mpaka kidato cha...
  8. I

    PreGE2025 Jerry Muro: Gwajima umevua nafasi ya Ubunge, ushindane na Rais. Hata kama Rais wetu ni wa hovyo kiasi gani, ni lazima tumtii

    Kumuita Rais wa nchi kuwa ni wa HOVYO ni kosa kubwa sana, Jerry Muro hakutakiwa kumuita rais wetu kwamba ni wa HOVYO,kakosea sana JERRY. Kwamba "HATA KAMA RAIS WETU NI WA HOVYO".Jerry kapata wapi ujasiri wa kumuita hivyo MH.RAIS?????.
  9. I

    PreGE2025 Tetesi: Majimbo waliyopewa 30 yanayodaiwa kupewa CHAUMA na ACT wagombea wa CCM wanayajua? Wameridhia?

    Ccm huwa wanagawana majukumu, basi waliokuwa Wabunge watakuwa wamepangiwa kuwa hata makatibu wa ccm ngazi ya wilaya wakakijenge na wakakitumikie Chama.Na huko ndo kugawana majukumu, wataka vyeo wataendelea na jukumu lao hilo kama kawaida.
  10. I

    Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

    Kuna muda mtu anaweza kujitengenezea mazingila ya kudharaulika.Huyu mwamba anayatengeza hayo mazingila.
  11. I

    Tetesi: Wenje kujitoa Chadema kabla ya kufukuzwa

    Yeye atulie tuu hiyo ndo democrasia, Democracy haihitaji hasira.Uchaguzi umeshapita sasa ni kazi tuu.Sasa hivi ni wamoja.
Back
Top Bottom