Recent content by ikindo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuja na Mfumo Maalumu wa Kusaidia mamlaka ya Uteuzi kufanya uteuzi kwa Usahihi

    Inamaana sikuhizi kazi ya hazina ni kutumza mafaili ya Uteuzi na sio utumishi Tena da!?😁😁😁
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

    Hivi bado kuna mtu mwenye akili timamu anamfatilia huyu jamaa.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli! Jaribio la treni ya SGR lilishindwa kufikia lengo

    Wakuu kwani lengo la kufanya Jaribio ni nini?, kwa sababu navyofahamu mimi lengo kuu la Jaribio ni kupima ufanisi kwa sababu mfanya Jaribio hana uhakika na ufanisi uliokusudiwa na kama Jaribio limeonyesha kuwa hakuna ufanisi tarajiwa basi Jaribio limefaulu kwa asilimia mia, na hivyo limewapa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

    Bodi zote zaMazao zinapaswa kuwa bodi moja, na kila zao kuwa kitengo au idara ndani ya mwamvuli unaoitwa bodi ya mazao, hii itapunguza gharama ya kila zao kuwa na bodi.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

    Hawo Mabeberu wanapaswa kujua kuwa Tanzania ni Jamuhuri, na kama ni Jamuhuri basi inapaswa kujiamulia mambo yake yenyewe bila kupangiwa na wao Mabeberu.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Sio madereva TU mkuu, Hilo tatizo lipo hata kwa Abiria wengi
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Kwa hiyo Ili kudhibiti vifo yapaswa kushughulikia uzembe na si safari za usiku, tupo pamoja bro.[emoji38]
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Lakini umesema inasemekana which means yr not sure!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Mkuu Siku Yako ya kufa ikifika imefika TU hata ukisafiri mchana. Kwani wewe unadhani hao madereva wanapenda kufa.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawahusisha Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi kwenye kifo cha mtoto wangu...

    Nakushauri upeleke malalamiko Yako Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Hawa nadhani wanaweza kukusaidia, waliwahi kusaidia kesi ya mwanafunnzi WA UDOM na taarifa Yao waliioto kwa Umma kama sikosei.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Prayer is an act of doubt, not faith

    Hakika Mungu ambaye hajui viumbe wake wanamahitaji gani Hadi akumbushwe ni Mungu wa hovyo kwelikweli na hana tofauti na binadamu.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Prayer is an act of doubt, not faith

    Umenena vyema kabisa mtumishi, sala ni kujipendekeza kwa Mungu Ili akupe upendeleo kuliko wengine na kusali ni Ubinfsi mkubwa sana hata Mimi huwa Sisali, kwani kitendo cha kupewa akili kinatosha kuishi na hatuhitaji kujipendekeza Wala kuwa chawa wa Mungu kwa njia ya Sala ama njia yoyote Ile.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    Wewe mtoa mada kwani ni lazima kila siku sisi ndo tuwe watu wa kuiga, kwani na hao unaowasema hawawezi kuja kuiga huku?.Nadhani ifike wakati na sisi tujione kiwa tunaweza kifanya jambo letu na likaigwa na tuondokane na hizo fikra za kitumwa.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

    Huyu jamaa sijui hana kazi zingine za kufanya?,Huyu c msomo anayejinasibu kuwa amebobea kwenye maswala mtambuka ya uchumi, yaani anashindwa kufuga hata kuku?! Huyu c ndo hua anasemaga uchumi mzuri na vijana hawaoni fursa?, Kwanza huyu amekuwa kama kurumbizi kuvamia vibanda vya wengine na...
Back
Top Bottom