Asante.naongeza .inakuwaje unapata sms ya mganga wa jadi na anakudai ati alikutibu ukafanikiwa kisha ukatokomea na malipo yake.
Namba zangu mteja nani kawapa.
Pili.matangazo ambayo hayanihusu mnayatumaje??
Unatumiwa ujumbe ati hivYO HELA INGIZA KWA NAMBA HI I .JINA LITAKUJA XYZ NA USIPIGE SIMU...
Neno lako la mwisho linautata mwanangu.UFANYEJE ILI UFAIDI WEMA WAKO.
WEEpiga kazi professionally.utunze ajira yako tu.usitake na ndoa.labda a tu kama haujaoa,waweza kumchumbia hasa baadae.
Kumbuka mtaka yote kwa pupa hukosa yote.nawewe unashuhudia kwamba umesota kabla ya kupata hiyo kazi.
Asante.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.