Trump yuko sahihi kwa 100%.Yupo kwake anawagombeza maHB na maHG wake kuruhusu wageni wachafu kuingia nyumbani kwake hata ukinuna haisaidii.Kama unaamini we sio mchafu zila usende kwake na kama kweli we ni mchafu jisafishe ili akukalibishe kwake.
Na nyie madereva mnaboa sana barabarani,unakuta njemba la miraba minne kilo zaidi ya mia katuna nyuma ya usukani wa staleti mkanda umembana na macho yamemtoka kama akunya choo kigumu.
Kazi sio rahisi kama mnavyodhani, huenda ikatufikisha usiku wa manane.Kwa sasa tuna majina matatu,mwanamke mmoja,mzanzibar pamoja na Magufuri,endeleeni kuwa na subira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.