Recent content by ikhwan safaa

  1. I

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    wewe ukokundi lipi?
  2. I

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    huyo wa oman naona anafanya kazi nzuri sana
  3. I

    REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

    imagine hii ingekuwa kenya ....
  4. I

    Je ni kweli Mkulo ana degree feki?

    Au anasingiziwa? I find it hard kuamini kuwa awe amefika hapo alipofika kwa degree feki I feel kama vile JF mko kwenye smear campaign dhidi ya mkulo Haiwezekani waziri wa fedha awe na degree feki...impossible msitake kumdhalilisha rais na utawala wake kwa maneno ambayo hamuna uhakika nayo...
  5. I

    Tujikumbushe: Dr Kamala aitetea PhD yake!

    jamaa anaenda zake BRA-SELLLLL S
  6. I

    REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

    Elimu sio ufunguo wa maisha nyie kaeni tuuu hapa kulalamika
  7. I

    "DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

    Nani kasema kuwa elimu ndio ufunguo wa maisha?
  8. I

    REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

    Nyie mtaishia kusema tuuu
  9. I

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Wizatra ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Assah Mwambene, akipata kumbukumbu kwa iPad 2 yake
  10. I

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    JK na familia ya Bibi Shamim NYANDUGA ambaye ameteuliwa kuwa Balozi nchini MSUMBIJI. Kabla ya hapo Bibi Nyanduga alikuwa Naibu Mkuu wa Itifaki, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
  11. I

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Huyu ndo mnasema ana PHD FEKI? JK akiwa na familia ya Dkt. Deodorus B. KAMALA ambaye ameteuliwa kuwa Balozi nchini BELGIUM. Kabla ya hapo Mhe. Kamala alikuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  12. I

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    JK akiwa na familia ya Balozi Batilda Burian
  13. I

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Bibi Grace J.E. MUJUMA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini ZAMBIA. Kabla ya hapo Bibi Mujuma alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Ushirikiano wa Kikanda (Regional Co-operation), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
  14. I

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Bwana Mohamed H. HAMZA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini MISRI. Kabla ya hapo Bwana Hamza alikuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, ZANZIBAR, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Back
Top Bottom