Recent content by IKEKERA

  1. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Kitaifa baada ya Uchaguzi 2025 - Tupo wapi na Tunaelekea wapi?

    Maridhiano ya nini wakati tunaishi vizuri TU...SAMIA ANATOSHA
  2. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kwani mkuu wanapiga kura na kuhesabu wenyewe?kazi yao ni kupiga kura anaetangaza ni mwingine..
  3. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    Ww ulikuwepo darasani siku hiyo?na je umejuaje hicho ndo anachoshtakiwa kwacho?
  4. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Sasa mbona walitaka kuangusha serikali kwa kutumia waumini wao wanaodai kuwa ni wengi na wakashindwa?... Hizo technical movement ni zipi? TEC now wanadharaulika na gov kuliko taasisi yeyote nchi hii
  5. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

    Si baada ya kuanza kuitukana serikali..
  6. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Bado hatujamsikia Rais akisema neno 'Samahani' kwa yaliyotokea

    Huyu jamaa kama demu!! Yaani mchochee fujo nyinyi kisha waombe msamaha engine?rubbish
  7. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    Hahaha naijua hiyo...unaitengenezea kejeli hoja ya msingi kwa kuidogosha na myopic
  8. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    Mkuu sio lazima uchambue Kila kitu...vingine kama hujui unaacha TU Hutopungukiwa kitu
  9. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    Ili ufanikiwe lazima uhusishe makundi yote yaani dini kuu mbli uislam na ukristo
  10. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    Uko sahihi kabisa hata ya oct 29 yalifeli baada ya masheikh nchi nzima tena misikitini wazi wazi wakiwakataza waislam wasishiriki zile harakati ...
  11. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafuga nguruwe na ni mchafu wa kuzaliwa

    Vingunguti hapo kwenye mabwawa ya mavi...kipindi nasoma udsm niliwahi kwenda kwa ndugu yangu anaishi hapo 5m kutoka kwenye hayo mabwawa ...hiyo harufu isikie tu...
Back
Top Bottom