Recent content by ikashi2

  1. I

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Dada wameanza niita Mjomba wakati walikuwa wakiniita Uncle zamani

    Kubali kuwa wewe ni mjomba. Uncle ni baba mdogo au mkubwa .
  2. I

    JamiiForums Tanzania Vurugu zazuka Kanisani la KKKT Dayosisi ya Konde Mbeya, Ibada yavunjika, Polisi wakamata viongozi

    Kanisa linafundisha kutii mamlaka. Sasa KKKT mamlaka zinaanzia wapi Kama siyo kwa kiongozi mkuu? Nauliza tu.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Juma Raibu Meya aliyevuliwa Madaraka Moshi adaiwa kung'oa miundombinu aliyoiweka alipokuwa madarakani

    Huu ni utoto na hajui sheria inakataza kuharibu mali. Waliomtoa wengine anatoa adhabu kwa wasio na hatia. Hana sifa ya uongozi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Makonda asiruhusiwe kuwa karibu na viongozi wakuu, aweza kujitoa muhanga

    Roho mbaya kama yalivyo maendeleo haina chamabndugu zangu. Kwanza historia imetuonyesha siyo rahisi kumfahamu mwana CCM na asiyekuwa mwana CCM. Leo mtu yuko CCM kesho Yuko chadema kesho kutwa yuko TLP. La maana wote tujifunze kuwa ubaya haulipi na since kitu Cha kuonea ufahari. Tupendane kwa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Boss Kama mtu ana silika mbaya kutokana na mazingira na utashi wake hata ukiweka katiba nzuri kiasi gani. Hivi boss Kuna katiba nzuri kuliko quruan na biblia? Mbona zinzvunjwa. Mimi najaribu kusisitizia uelewa wa jambo baya kupitia mafunzo. Mtu asutwe na nafsi yake kwa kufanya Jambo baya hata...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Kama walikuwa sahihi kwa nini wanaogopa kurekodiwa? Mimi naona badala ya kulilia katiba mpya tulilie someone la ustaarabu mashuleni tangu chekechea. Kwani mtu asiyekuwa mstaarabu hata katiba mpya ataivunja kwa kuwa Hana aibu na haheshimu haki na Hana upendo.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Naunga mkono hoja. Hata Yes hapendi kinachoendelea Sasa kwa kutumia jina lake. Yes alikuja kuonyesha njia ya wanadamu kuishi kwa upendo ili siku moja tuwe wote mbinguni. Kuishi kwa kutokumtendea mwenzako kill ambacho hupendi yeye akutendee. Hi haihitaji pesa Wala sadaka. Sadaka mpelekee mhitaji...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Makongoro nitamheshimu kwa kutokuwa na majivuno, ubaguzi na ni mtu anayejishusha kwa watu wote. Wanaomwita mlevi kwani yeye ndiye anayetengeneza pombe. Hana ukabila Wala udini. Ni mpenda watu. Huo aliotoa ni ujumbe kwa wengine wajitathmini Kama viatu walivyovalishwa vinawatosha. Charles...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere kaidhalilisha CCM

    Steve hakujibu hoja amekimbilia kukashfu hisia za watu, vyama vya siasa na mamlaka halali. Hi imeonyesha mapungufu makubwa ya hekima na busara kwa kiongozi. Hafai hastahili_poor Kama siyo pua.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Niko tayari kufukuzwa CHADEMA kwa sababu ya suala la Ngorongoro

    Kinachofanya Ngorongoro kuwa tofauti na mbuga nyingine ni pale wanadamu wanapoweza kuishi katika hali ya kuombana chumvi au Moto na wanyama wakali Kama Simba na tembo Wachagga hawajachorwa mlima Kilimanjaro usoni.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe imetuachia kumbukumbu isiyofutika, kwamba Serikali ilithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu, ushahidi ulitosha!

    Mahakama siyo Malaika. Kwamba haikosei. Busara ndio muhimu.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kesi ya Mbowe na Sabaya

    Mwisho Sabaya amewakosea watu binafsi na siyo serikali tuu. Hao aliowakosea hawajamsamehe wanaendelea kusononeka.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    Samehe mara saba usabini. Ndicho alichokifanya Mbowe. Angeweza kuteswa na majambazi, majirani na hata ndugu lakini kikubwa ni kuwasamehe na kuendeleza unyenyekevu uliojawa na busara na hekima. Hata na wewe wasamehe unaojua wamemkosea.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

    Kilio cha kumuunga mkono aliyemkingia kifua kubaki bungeni kimagumashi akizifaidi pesa za mkopo
  15. I

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kutengeneza radi auawa na wananchi

    Angalau basi miaka 60 itupe uzalendo wa kuwaenzi wanasayansi wetu wa jadi. Ukatili haulipi
Back
Top Bottom