Uungwana wake unatoka wapi mbona KM wa CCM alimpa makavu za usoni mwaka huu alipoitembelea Kiteto? Muungwana ni mtu asiye na chuki, ubinafsi na majivuno. Papian alishaambiwa na Mnyeti tulia faili lako tunalo na nilichafu
Jambo baya zaidi kuhusu huyu Papian anawadharau sana Watanzania na ndiyo maana hawajiriwi kwenye biashara zake. Jambo na la kutia moyo ameshanongona kuwa bora niwaachie wenyewe nchi yao isije ikanitokea puani .....
CCM imeishiwa pumzi kwa mujibu wa hayati Ngombale Mwiru (2015). CCM bila dola kwa safari ya Dar Mwanza haiwezi kufika hata picha ya ndege maili moja lazima iishiwe pumzi!
Napenda kufahamu iwapo wanaume kutoka jamii ambazo hazina utaratibu wa kuwatahiri wanaume wengi wao wanakuwa waoga na kupenda kutumia vitisho katika kufanikisha matakwa yao katika jamii. Pengine tabia zao zinabakia kuwa hivyo kwa ajili ya kutopitia gazi mbalimbali za kupikwa kutambua maana ya...
Swali: Mbona malalamiko yamezidi dhidi ya utekaji na utesaji wa watu?
Swali: Je kuna ukweli dhidi ya malalamiko haya?
Swali: Je tunawezaje kupunguza haya malalamiko?
Mtajaribu kupambana na mataifa mengine lakini hamtaweza ni mfumo waliouchagua na wametuacha kwa mbali na itaendelea kuwa hivyo kwa miaka michache ijayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.