Brother, ukihitaji kuanza ujenzi karibu Sana tukuandalie Ramani nzuri ya nyumba Yako kama hiyo unayohitaji pamoja na kusimamia ujenzi wako mpaka mwisho.
Tupo Arusha Town, jengo la mafao house, ghorofa ya 7.
Wasiliana nasi kwa Whatsapp 0754084611.
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums...
Habari za muda huu wakuu,
Siku moja mida ya jioni nikiwa nimetulia nilistushwa na text ya whatsap, kucheki vizuri nikabaini ni mteja kutoka Instagram kwenye account yangu inayohusiana na ujenzi
@construction_solutions_tz.
Baada ya maongezi ya hapa na pale nikagundua jamaa anahitaji huduma ya...
Kwa ratio ya 20 yaani ndoo ndogo 20 kwa mfuko, zinajenga tofali 80-90 za kusimama.
Kwa ratio ya 25, ndoo 25 ndogo kwa mfuko, zinajenga tofali 100+ za kusimama.
Habari,
Ujenzi wa ghorofa bila nguzo inawezekana lakini tu unashauriwa kutumia ukuta wenye upana wa inch 9 au 230mm kwa floor ya chini yaan kuta za chini zijengwe kwa kulaza tofali. Kwenye msingi, nguzo ziishie level ya msingi ilikupa msingi stability nzuri.
Lakini pia aina hii ya ujenzi sio...
Habari, naomba nikujibu.
Ujenzi wa ghorofa ni tofauti na ujenzi wa nyumba ya kawaida.
Kivipi?
Kwenye ujenzi wa ghorofa Kuna element zinaongezeka ambazo sio za lazima kwenye nyumba ya chini. Element kama nguzo, mkanda wa chini na slab ni lazima viwepo kwenye ghorofa.
Element hizo zinahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.