Hivi ushauri utapata kweli hapa? Sasa fanya hivi ushauri nakupa.Wema si alikufanyia wewe kiongozi?basi kamlipe kiwango sawa na ulivyotendewa(ndiyo mafundisho).Sema siku nyingine jiongeze demu alitoa mimba kwasababu ya uzembe wako(kipindi yupo na mimba ilibidi ujiongeze uondoke pale ujifanye...
Akifanya press internet inakuwa blocked kwa application zinazostream hiyo press bado unasema hana athari?Wapambe wa mama Abdul akili zenu mnazijua wenyewe
Large scale mining inahitaji capital kubwa.STAMICO walipewa mgodi wa Biharamulo wamefanya utumbo tu,Buzwagi yenyewe ndio hivyo(kwisha habari yake) lakini 20%kwa Nyanzaga ni ujinga mwingine wa mtu mweusi.Buly yenyewe walipigwa changa la macho na Twiga yao lakini serikali hana chake pale yamebaki...
Dhahabu iliyoko Nyanzaga inafahamika ndio maana makampuni kama CAPITAL drilling na BOART LONG YEAR walikuwa pale kufanya exploration.Sema kuna watoto hapa wanaongea utoto wao unaona bora wachukue tu hiyo 20% inawatosha maana watu wenyewe kama vichaa vile
Nimekwambia bado una akili za kitoto kweli.Hapa yanaongelewa maslahi ya taifa wewe unaleta utoto hapa.Unadhani uchimbaji mkubwa ni sawa na kumiliki duara sio?Umewahi kufika mgodi wowote mkubwa unaochimbwa dhahabu au naongea na watoto wa vitabuni tu(mkishaletewa taarifa mnabeba tu na kuanza...
Hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa.Sema tufanye hivi acha mchukue hiyo 20٪ inawatosha kwa sababu hakuna nchi inayozidi hapo kwenye uchimbaji wa dhahabu(reasoning ya hovyo kweli)
Swali la kwanza limefanya nione bado wewe mdogo kweli.Shauri zenu kwa wakiiba hizo dhahabu zenu mkabaki na mashimo matupu mimi hasara yangu nini?
Migodi mingine tayari walikuwa washajifunga ndio maana Jiwe alivyoenda kichwa kichwa Buly,Acacia aliingia mitini Barrick akapitia mlango wa nyuma.Huu...
Mgodi wa Nyanzaga bado ni mpya hakuna uchimbaji mkubwa uliwahi kufanyika pale.Tofauti na migodi kama GGM,N.Mara,Buly,Shanta mbeya na Shanta Singida.Huu wa Nyanzaga ni sawa na mtu kapata demu bikra kwahiyo serikali alikuwa na chance ya kufanya biashara vizuri.African Barrick ndio kampuni...
Hawa jamaa kazi kweli kweli.Huu mgodi wajuzi wa mambo wanadai una mzigo wa kutosha mbaya zaidi ni mgodi mpya mnafanya biashara ya kihuni hivi.Mwanzoni African Barrick walikuwa na shida hapo huyu sijui Sotta katokea wapi?
Sema pochi kaka tena.Kiswahili kigumu sana sema hilo neno mara nyingi huwa nasikia wanawake ndio wanatunza pesa kwenye pochi.Sio kesi lakini kiswahili kina maneno mengi sana
Vyovyote vile kiongozi.Maana yangu ilikuwa kuwa Tundulissu alishambuliwa kipindi cha utawala wa jiwe(hakuna ushahidi wa yupi alihusika,kwahiyo hakuna sababu ya kuwa na doubt)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.