Recent content by Iheanacho

  1. Iheanacho

    USHUHUDA WANGU: Nilivyotembea na wake za watu vol 1

    BVR ilikuwa ni issue ya siku nyingi sana mkuu wakati huo bado nabangaiza maisha.Pia issue ya mnadani nimeficha vyanzo vyangu baadhi kuhusu kipato changu mkuu.Unashangaa mtu kutoa 200,000?Unafikiri watu wote wanaoenda mnadani wana kipato duni? Pesa ndogo mno hiyo mtu akitoka mzunguko
  2. Iheanacho

    USHUHUDA WANGU: Nilivyotembea na wake za watu vol 1

    Kesho mkuu navishusha nahisi zipo mpaka vol 4
  3. Iheanacho

    USHUHUDA WANGU: Nilivyotembea na wake za watu vol 1

    Lodge ya Kamani ipo maeneo gani mkuu?
  4. Iheanacho

    Ushuhuda wangu: Nilivyotembea na wake za watu

    Habarini wana jamvi. Kwa kifupi mi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli zangu binafsi na shughuli yangu ni aina ya biashara ambayo wateja wake wengi ni wanawake. (Kuuza vitenge...
  5. Iheanacho

    USHUHUDA WANGU: Nilivyotembea na wake za watu vol 1

    Habarini wana jamvi... Kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli zangu binafsi na shughuli yangu ni aina ya biashara ambayo wateja wake wengi ni wanawake. (Kuuza...
  6. Iheanacho

    Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Wapumbavu kama nyie bure kabisa mnashindwa kutoa visa vyenu mnakatisha tamaa wanaoeleza visa vyao
  7. Iheanacho

    Muumini akiwa ofisini kwa Pastor Masanja Mkandamizaji

    Hapa kimasihara si ni kufikia tu?
  8. Iheanacho

    Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Hapana kabisa japo mmewe ni mdigo ila inaonyesha hawapendelei huko
  9. Iheanacho

    Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Kaka sijatunga story ni tukio la kweli sema nimeficha vitu vingi Nilitumia mpira
  10. Iheanacho

    Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Kaka sijatunga story ni tukio la kweli sema nimeficha vitu vingi
  11. Iheanacho

    Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Habarini wana jamvi. .. Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife...
  12. Iheanacho

    Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

    Kuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za kiume na kuangamiza wachawi. Nifanyeje?
Back
Top Bottom