Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

unafikiria kupiga bao 4 ndio UMWAMBAFAI...........hata mashoga wanapiga...ila ni kwamba tu wanapenda kuliwa nyaa.......pumbafu wewe na huyo KAHABA mwenzio.......
 
Habarini wana jamvi. ..

Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife shangazi! Nikaja kumdodosa wife kiaina akakubali kwamba ni ndugu kabisa.

Siku zimeenda hivyo siku moja nikamuuliza lini kututembelea hapa kwetu uje umpe hi shangazi yako?AKAJIBU hawezi kufika hapa nyumbani .Nikamuuliza sasa mimi nitakufamu vp AKAJIBU kama nipo tayari nitafute sehemu nyingine ya kukutania ila hayupo tayari kuja nyumbani maana wife alishawahi kumtenda miaka kadhaa kabla hawajaolewa!

Katika kumdodosa akasema ilitokea wife akatembea na jamaa yake mmoja KITENDO ambacho kilimuumiza sana.Basi kumbe wakati tunachat tayari alikuwa kishapanga ratiba ya kuja kijijini kwao kuhani.Nikaandaa mazingira ya kutoka tukawa tumekutana lodge fulani hivi.Usiku ule nilimfanya sana na wakati natafuta bao la nne mmewe akapiga simu ila akaishia kupigwa fix tu.

Mwisho yule mwanamke akasema isingetokea kutembea na mimi ila kitendo cha wife kuliwa na jamaa yake kilimuumiza sana!Ila sasa kinachonishangaza anapocomnent picha za wife facebook anamuonyesha heshima zote!

Wanawake waacheni tu akili zao wanazijua wao
hebu tuelezee maumbile yake yapoje bao nne sio mchezo
 
Mmh kama ndiyo mume wa mtu huyu, kazi ipo huko ndoani, sasa akili za wanawake wewe akili yako unaona iko sawa? Subiri aje amwambie huyo shangazi yake kwamba ulimtongoza ukatoka naye uone moto wa wife kwako badala ya huko shangazi. Vipi ulifikiria kuhusu kupima?, vipi kama alitaka hiyo nafasi ili awaletee wadudu ndani?(HIV)
Nimeona profile picha yako wewe mzurii,, hivii wewe kweli hauna kinyongo na mke wangu wewe? na wewe uje kulipa kisasi!
 
Inatufundisha kuwa unachokipanda leo ndicho utakachokivuna siku zijazo.
Ukipanda mema utavuna mema, ukipanda ubaya utakuja kuvuna ubaya. Kwahiyo ngoma droo
Japo habari ya mtoa mada ni ya kipuuzi ila upande mwingine kweli nimajifunza malipo ni hapahapa duniani.
 
Mmh kama ndiyo mume wa mtu huyu, kazi ipo huko ndoani, sasa akili za wanawake wewe akili yako unaona iko sawa? Subiri aje amwambie huyo shangazi yake kwamba ulimtongoza ukatoka naye uone moto wa wife kwako badala ya huko shangazi. Vipi ulifikiria kuhusu kupima?, vipi kama alitaka hiyo nafasi ili awaletee wadudu ndani?(HIV)
Nimeona profile picha yako wewe mzurii,, hivii wewe kweli hauna kinyongo na mke wangu wewe? na wewe uje kulipa kisasi!
 
Kaka sijatunga story ni tukio la kweli sema nimeficha vitu vingi
Iheanacho sasa hivi uko kwenye form sana mzee, kila ukijaribu unafunga goli...ila upepo unabadirika soon, wife akijua...nae atanipigia kukumbushia tena tukio lile la kijijini mwaka ule. ;)
 
Back
Top Bottom