Recent content by igwana123

  1. igwana123

    Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Nchi haiendeshwi kwa jazba au kutafuta sifa. kupoteza lengo katika masuala muhimu ya nchi, Ajira, Njaa, Uchumi kuporomoka na gharama za maisha kupanda bila sababu haya ndio kipaumbele sio kudhalilisha watu.
  2. igwana123

    Tetesi: Dr Wilbrod Peter Slaa Kupeperusha Bendera Ya UKAWA!

    dr Slaa ni muhuni kama aliweza kuvunja ndoa yawatu na kupora mke sasa mapesa ya nchi central bank itahamia kwake.
  3. igwana123

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hizi updates ni za upambe hamna ushahidi wa picha wala voice. Wewe ni timu Sitta
  4. igwana123

    Ya Chopa 3, ushindi Kata 3 na masuala ya msingi kwa wanaCHADEMA, wapenda demokrasia

    Chadema hamna mvuto. Ni sawa na Paka aliyeshiba hawezi kamata panya tena. Wabunge wengi ubunge wa kupewa kimapenzi sasa hakuna mapenzi Bungeni wananchi wanataka matekeo sio mabusu hadharani. Buriani Chadomo 2015! Dalili tunaziona Kalenga na Chalinze.
  5. igwana123

    Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    Ama kweli Nyani haoni kundule, Nyie Chadomo sio Usultani tu bali ni Umangi Meza, viti maalum mumegawana kule mgombani wake zenu, watoto, mahawara zenu, dada zenu mpaka basi. Hawa vijana hawajateuliwa bali ni ndio nguvu ya demokrasia ambayo Chadomo bado ni ndoto ya mwenda wazimu. Tafuteni tena...
  6. igwana123

    NAPE: Ziara za Mwigulu Marekani na Uingereza sio za chama

    Ben Saanane: Leo nimewaona Nape na Mwigulu wanaongea vizuri hapa Dom wanapongezana kwa kazi nzuri pande zote. Tunakuomba rudi kuwa na mawazo chanya, epuka fikra hasi, shauri unapoona kuna mapungufu na sifia panapostahiki ili tuepuke kuwa na taifa lenye vijana vipaombele ni majungu, lawama na...
  7. igwana123

    NAPE: Ziara za Mwigulu Marekani na Uingereza sio za chama

    Magesi Una ajenda za siri. Safari binafsi watu huwa wanaenda Disneyland, Vacation at the beach na kwingineko. Mwigulu ametembelea matawi yote ya CCM Marekani na Uingereza. Haya yote yapo kwenye mitandao yote na magazetini inaonyesha unakigugumizi cha kutafuta ukweli uko wapi au unatumika...
  8. igwana123

    NAPE: Ziara za Mwigulu Marekani na Uingereza sio za chama

    Taarifa hazina ukweli ndani yake, Nape na Mwigulu wanafanya kazi pamoja na wala hawana tofauti zozote kwani wote wanakipenda Chama kwanza kablay amaslahi yao binafsi. Hivyo tujue wapo pamoja na hakuna ufa wowote. Mwigulu amefanya kazi nzuri Marekani na Uingereza alikutana na Watanzania wote bila...
  9. igwana123

    Hivi nani huwa anamshauri Kikwete mambo haya?

    hiyo picha ni fake
  10. igwana123

    Urais CCM hawa hapa unawachukuliaje? Kura ya ndio

    Its too early to predict, just go back to work. See you March 2015.
  11. igwana123

    Kinana awa Katibu Mkuu mpya wa CCM! Meghji na Migiro waula...

    Baada ya kupata makamanda wapya sasa kazi ni moja. Kuendelea kudumisha Amani na Utulivu nchini, kukuza uchumi, kujenga mindo mbinu zaidi. Kukuza elimu na kazi kwa Vijana. pamoja tujenge nchi!
  12. igwana123

    Zuberi mbyana ni nani huyu ?

    kanga usiseme kitu usichokijua. Ni mtu mwaminifu, mchapakazi. Ameanza kama Mwalimu akjiendeleza mpaka alipo. Hafungamani na upande wowote ndio maana hata kule Biharamuro alitangaza matokeo kihalali kabisa. So he's strong leader.
  13. igwana123

    Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

    Mhhh! haya sijui hapa umesema au umetamka
  14. igwana123

    Mjumbe CCM ajivua uanachama

    Hizi nia taarifa za kizushi, zipo Tanzania Daima ukurasa wa ngapi na tupe nakala tuone hapa jamvini.
  15. igwana123

    PICHA: MATAWI YA CCM MAREKANI WAHUDHURIA MKUTANO WA CCM DODOMA, Wapewa ROUND TRIP TICKETS na CCM

    Neiwa. Inaonyesha unamawazo finyu sana na hauna exposure ya kutosha. Nenda Google tafuta chama chochote duniani utaona vingi vina matawi nje ilimradi tu wafuasi wao wapo. nilienda London nikakuta Kenya ODM wapo, Ivory Coast wapo, n.k. na mataifa mengi wananchi wao hupiga kura wakiwa nje pia...
Back
Top Bottom