Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

Hembu mwacheni ridhiwani jaman.

Nyie mna kichaa kweli. Yaani mtu baba yake ni rais halafu yeye akauze madawa. Doesn't make any sense
 
Mzee wa msoga anasikilizia tu, sasa familia yake imeanza kuguswa nadhani ataanza kutuelewa ukawa kuwa huu utawala aliotuachia umejaa chuki na visasi
hivi hapa unazungumzia chuki ipi? maana huyu ni mwana ccm na wala sio mpinzani na hakujawah tokea tetesi zozote kama wana uadui na mkuu wa nchi. Tatzo fikra zako zimeshikiliwa na siasa zisizo na kichwa wala miguu. Na kumbuka hii vita sio kwa wapinzani tu ni kwa kila mtu ambae anahusika na biashara hii. Hivyo kama anahusika na hizo tuhuma wacha wawajibishwe.
 
Utasikia kwamba amechunguzwa imegundulika hahusiki hata kidogo... Hahahaha wanajuana tu hao..!!
 
CHUKI KWA RIDHIWANI INATOKANA NA CHUKI KWA JK! UCHAGUZI WA 2010 ULIWAUMIZA SANA WATU FULANI WAKIWA NA YULE PADRI WA MIHOGO! KASHIFA ZA KUZUSHA ZIKAANZIA HAPO! HILI GAZETI LIMEKUWA LIKIJIEGEMEZA KWA MAGUFULI KWA KUWA NI WA KADA YAO NA DINI YAKO NA KUICHAFUA FAMILIA YA JK NA JK MWENYEWE! BUT SIKU ZOTE DHULMA HUWA HAISIMAMI- MTAPIGA KELELE HUMU ZA KUJIFURAHISHA BUT SI RIDHIWANI WALA JK ATAKAYEDONDOKA
Umetoka povu sana mkuu,nakupa pole. Ila ukweli utabaki kwamba hakuna mtu anayemchukia Jakaya Kikwete wala Ridhuwani Jakaya Kikwete .Matendo yao ndiyo yanayowahukumu.And as to whether wataanguka au hawataanguka,time will tell.
 
Kuchunguzwa Riziwani kuna visasi na chuki za nini wakati ndiyo familia iliyopachika uongozi uliopo baada ya mwanafamilia yao kuangukia pua?

Huyu mtu alituhumiwa muda mrefu na watu wamepiga kelele kwa nini hakamatwi na watu wakaanza kutoa hisia mbalimbali. Kuchunguzwa kwake kumekuwa chuki na visasi? Nani anahaki ya kuchunguzwa na nani hatakiwi kutuhimiwa?

Acheni ujinga.
ina maana UKAWA wasingeshughulika na madawa ya kulevya, na ufisadi.
 
hivi hapa unazungumzia chuki ipi? maana huyu ni mwana ccm na wala sio mpinzani na hakujawah tokea tetesi zozote kama wana uadui na mkuu wa nchi. Tatzo fikra zako zimeshikiliwa na siasa zisizo na kichwa wala miguu. Na kumbuka hii vita sio kwa wapinzani tu ni kwa kila mtu ambae anahusika na biashara hii. Hivyo kama anahusika na hizo tuhuma wacha wawajibishwe.

Nchi haiendeshwi kwa jazba au kutafuta sifa. kupoteza lengo katika masuala muhimu ya nchi, Ajira, Njaa, Uchumi kuporomoka na gharama za maisha kupanda bila sababu haya ndio kipaumbele sio kudhalilisha watu.
 
Back
Top Bottom