Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Umeona eee? Anchezea CCM weye? Vaa GWANDA sasa.
Mkuu jibu unalo kama hauna unalijua ila hutaki kulikubali. Binafsi sipendi kumung'unya maneno, watu wameichoka/tumeichoka CCM na viongozi wake, wengi wanatamani CCM ipotee tuanze upya na chama kingine tukiwa na mfumo mzuri wenye kuthamini utu na taifa letu. Sasa linapotokea suala ambalo naweza kusema lina-accelarate the dying process of CCM basi bila shaka mwenye gazeti atauza akiandika hiyo habari. Pamoja na mengine meeeengi.Mungi siyo kila kitu tuwe tunadhani ni jambo la Kupingana. chama ana hoja ukiangalia kwa makini. Tanzania tuna Kata ngapi kama kila jambo linalotokea kwenye kata linakuwa habari. Halafu watu kwa maelfu wanajiunga na CHADEMA kila siku ni kwa nini hawa wanaotoka CCM ndiyo wanapigiwa upatu?
Kwani ni watanzania wangapi wanatoka CUF, NCCR,NLD na vyama vinginevyo vya siasa na kujiunga na CHADEMA, hawa wa CCM wana thamani kubwa sana kuliko hawa wengine?
mkuu hapo sikubaliani na wewe,tuachie arsenal yetu.Hiyo siyo simba wala yangaNadhani kunakaribiana na kuishabikia timu ya ARSENAL chini ya Wenger!
Ngoja kiboko yako Mnyisanzu aje hapa !Nilipofungua hii thread nilidhani mjumbe wa NEC kumbe mjumbe wa kata.
Kuendelea kubaki ccm unatakiwa uwe na moyo wa kijangili..
mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (ccm) prince sabby rwazo (29) amejivua uanachama na madaraka mengine kutokana na chama hicho kushindwa kuwa na mwelekeo thabiti wa kusaidia watanzania.
Rwazo alisema kujiondoa kwake ni jambo la kidemokrasia kutokana na chama tawala kukosa dira nzuri ya kuwasaidia watanzania.
rwazo ambaye pia ni mwalimu shule ya sekondari ya bugene alisema kwa muda atakapokuwa nje ya siasa, ataendelea kuwafundisha wanafunzi kwa moyo wote kushiriki shughuli za maendeleo akiwa mwanaharakati wa haki za binadamu pasipo kuvunja sheria za nchi.
Source: Tanzania daima
kwa nini waandishi wa Tanzania hawapendi kuandika habari zao kwa weledi? Halmashauri Kuu ya CCM (National Executive Committee) ni chombo cha kitaifa na siyo kila Halmashauri ya CCM ni Halmashauri Kuu. Kuna Halmashauri za Kata, za Wilaya, za Mikoa na hatimaye Halmshauri Kuu ya Taifa.
Sasa huyo Prince Sabby Rwanzo ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ipi? Haya ndiyo yale ya kutumia picha ya binti wa marekani na kusema ndiye aliyesababisha Kamanda Liberatus Barlow kuuawa, vyombo vya habari vya Tanzania ndiyo maana Mzee Mkapa alisema havina weledi wa kutafuta habari!!
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Prince Sabby Rwazo (29) amejivua uanachama na madaraka mengine kutokana na chama hicho kushindwa kuwa na mwelekeo thabiti wa kusaidia Watanzania.
Rwazo alisema kujiondoa kwake ni jambo la kidemokrasia kutokana na chama tawala kukosa dira nzuri ya kuwasaidia Watanzania.
Rwazo ambaye pia ni Mwalimu Shule ya Sekondari ya Bugene alisema kwa muda atakapokuwa nje ya siasa, ataendelea kuwafundisha wanafunzi kwa moyo wote kushiriki shughuli za maendeleo akiwa mwanaharakati wa haki za binadamu pasipo kuvunja sheria za nchi.
Source: Tanzania Daima

Nadhani kunakaribiana na kuishabikia timu ya ARSENAL chini ya Wenger!