Recent content by Iguna

  1. I

    JamiiForums Tanzania Fiber za Kigamboni kuvusha abiria kinyume na taratibu

    Wadau Kumeibuka hii biashara ya jamaa zetu hapa Kigamboni kuvusha abiria kinyume name she ria kwani vyombo hivi Havana hats life jacket. Na sasa mida ya jioni wanabeba abiria karibu na polis upande wa Magogoni. Naomba Polis i zuieni hawa wangu wasiendelee wasije tuletea madhara.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

    Hivi tutabadilika lini Watanzania tumepata Kiongozi anayejali utawala was sheria hafai tena. Is it fair nchi kubaki ya wapiga deal? Naamini yupo na wataalamu mbalimbali watamshauri. Tuwape support itikadi zetu tuziweke pembeni kukosoana pia ni vizuri lakini tuseme nini cha kufanya pale unapoona...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mwanachama Mpya

    Hodi Wenyeweee
Back
Top Bottom