Recent content by igon

  1. I

    Mfumo wa shule/chuo-AMIS

    Huu ni mfumo kwa ajili ya kuhifadhi kumbukumbu za wanafunzi kama malipo ya Ada,usajili na matokeo. Mfumo huu umeunganishwa na Bank pamoja na mitandao ya simu kwa ajili ya kupokea malipo ya ada. Pindi tu mwanafunzi anapolipia ada yake kwanjia ya Bank au kwa kutumia mitandao ya simu hapohapo...
  2. I

    SOFTWARE Aina za website tunazotengeneza na malipo yake.

    Huyo Jamaa sio web professional kabisa kama ulivyosema ...labda kama anadownload free template na anaedit contents. Website ambayo ipo professional huwezi tengeneneza kwa hizo bei za blog.
  3. I

    SSRA, PSSSF sasa ruksa kutuibia

    Hiyo ndio Nchi ya viwanda yaani badala watu wapewe pesa zao kipindi wapo vijana ili waweze kujiajiri na kuajiri vijana wenzio kwa sababu wengine wanfanya kazi kwa malengo ya kupata mtaji kwa zile pesa wanazokusanya kwenye mifuko ja jamii lakini leo walewale wanohamasisha watu wajiajiri...
  4. I

    Naomba ufafanuzi kuhusu mamlaka ya baraza la kata

    Mabaraza ya Kata kwa ufupi yamekosa weledi kwa sababu ya kukosa wataalam wa kisheria kwa ajili ya maamuzi 1.Sidhani ila kwa sababu ya njaa zao hunaingilia mambo ambayo hayausu ili tu wapige dili za virushwa 2.Upande usiokubaliana na maamuzi utaomba shitaka lipelekwe Mahakamani Yaan haya...
Back
Top Bottom