Recent content by igogondwa

  1. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Nimeuliza hapa hawa watanzania wanaozungumziwa hapa ni asilimia ngapi kati ya watanzania milioni 60 ambao majority wako huko vijijini wakipinda mgongo day in day out kwenye substance farming?
  2. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Kwa hiyo hata Prof Janabi anapotoa maelekezo yake kwa umma awe anafanya pia rejea ya hizo IJM si ndiyo?
  3. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Kama ni scrap si uweke madini sasa tuingie chombo?
  4. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Hivi JKCI huwa wanatibu magonjwa ya figo au ni Moyo??
  5. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Hivi yeye na JK mkubwa nani?
  6. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Tuko Watanzania more than 60 million na majority wako huko vijijini. Je wewe hao unaowazungumzia ni asilimia ngapi?
  7. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Hiki ulichosema ni exactly kilichompata jamaa yangu, alitakiwa afanyiwe upasuaji but kwenda India akapona bila opereseheni...
  8. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Umetisha mkuu, nimejifunza something new leo...
  9. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Natofautiana na wewe kwa sababu kwenye uongozi kila mtu ana approach yake, hasa unapokuwa una deal na uma wa watanzania ambao sometimes wala hawajui wanachokitaka. Kuna viongozi wanapenda sana mbwembwe na media coverage.Ndiyo hao ambao watatumia kila aina ya vituko wafanyapo kazi zao, mara waje...
  10. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Kuna mmoja mtaani Kila siku alikuwa ananisumbua kuhusu michongo simpi. Siku moja nikamwambia twende shambani kwangu Kuna kazi ya miezi 2 na mshahara laki mbili,kulala na kula juu yangu. Baada ya wiki moja vibarua shambani wakaanza kunipigia simu kwamba dogo kazi yake kutwa ni kucheza Yale...
  11. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Usalama wa Taifa zina nguvu kiasi gani?

    Ngoja nikamuuliza jasusi mbobevu Yericko Nyerere.. Hivi yuko wapi siku hizi haonekani mitandaoni? Amehama kule Mbutu Kigamboni nini?
  12. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Na pia huwa wana roho mbaya hata kwa binadamu wenzao
  13. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Mbona wewe unanusa papuchi na kukodolea wake/wapenzi za watu??
  14. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Halafu unaweza kukuta hata huko msikitini kwenyewe hujaenda miaka mitano iliyopita
  15. igogondwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Paka mfano anakusudia kukamata panya, sasa akikusogelea pengine ana kiu ya maji unamtimua why??
Back
Top Bottom