Recent content by Ignatius Mwanyi

  1. I

    Kilimanjaro Kempinski yabadilishwa jina

    Tiba, Jina la hiyo hotel iliyoitwa Sheratonkwanza, hapo katikati ikaitwa Royal Palm kabla ya kubandikwa la sasa la Movenpick. Kwangu Serena ni jina maarufu tayari katika hotel industry. Sina uhakika na Hyatt. Ni ubabaishaji tu! Mnyalu
  2. I

    J. Samwel Malecela ni mgonjwa

    Bahati nzuri tingatinga limepata hitilafu wakati barabara ya kuelekea Uchaguzi Mkuu ikiwa imeshakamilika kutengenezwa. Sidhani kama CCM wanalihitaji tena mwakani kwenye uchaguzi wa CCM. Ila tumwombee kwa Maulana apone na amjalie uzima na afya njema ili Anne Kilango Malechela aweze kushiriki vema...
  3. I

    Comparing: Lowassa vs Pinda

    Lowasa ana matatizo makubwa ya kifisadi ndiyo maana amekwenda Nigeria kwa Nabii T. B. Joshua kujitakasa na ameambiwa hana budi kuukataa uumini wake wa KKKT.
  4. I

    Ni wazi sasa: Mbowe na Zitto hawaivi

    Sioni suala la ukabila hapo. Vincent Nyerere ni Mzanaki na Mbowe ni Mchagga. Mbowe asihukumiwe pasipokujitetea. Kama sikosei ni mdau wa Jamiiforums. Tumuache ajibu. Nionavyo mimi, Mbowe amefanya sahihi kwani Zitto Kabwe anayo nafasi yake ya Waziri Kivuli wa Wizara ya Fedha na Uchumi.
  5. I

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    Swadikta, umenena Zumbe! Kumbe wasaidizi wote wa JK wa Idara ya Habari na Mawasiliano ni wajuzi wa kukwepa kujibu hoja za msingi. Nilikuwa nadhani ni Salva Rweyemamu peke yake kwa sababu ya kutetea uswahiba wake na JK kupitia RA. Kwanza haya majibu yametoka katika gazeti gani leo?
  6. I

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    Kama umewahi kuangalia filamu ya Beverly Hill Part I na II aliyoigiza Eddy Murphy utapata jibu kwa nini hapa kwetu Tanzania VIGOGO WA MADAWA YA KULEVYA hawakamatwi. Katika ile filamu kinara wa biashara hiyo alikuwa ni Kamanda Mkuu wa Polisi katika Jeshi la Polisi la Jimbo mojawapo la Marekani...
  7. I

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    HUMWALIKA KWA KUWA WALISHATAMKA KUWA NDIYE CHAGUO LA MUNGU!! Usiwashangae, wasipofanya hivyo wataonekana nao ni WAPINZANI NA WATASHUGHULIKIWA IPASAVYO KAMA UONAVYO AKINA MBOWE WANAVYOFANYIWA. Majibu hayo ni mwendelezo wa usanii wa JK.
  8. I

    Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Dar

    Katika mapokezi hayo hakuna vurugu zilizotokea. Kumbe daima ni Polisi ndiyo wanaoanzisha VURUGU na kudanganya UMMA kuwa ni wafuasi wa CHADEMA. NIMEKUPATA MKUU!
  9. I

    Jumuiya ya Kikristo yamtaka Kikwete ataje viongozi wa dini wanaojihusisha na madawa ya kulevya

    Kwanza yeye JK atuambie wa - Tanzania hatua alizochukua juu ya orodha ya Vigogo wa Biashara hiyo ya Madawa ya kulevya aliyopewa na Vijana wa mkoa wa Mbeya katika awamu yake ya Kwanza. Babu Mnyalu
Back
Top Bottom