Recent content by iginoo fokasi

  1. iginoo fokasi

    JamiiForums Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    wakuu km kichwa cha habar lkinavyojieleza , ushaur juu ya biashara ipi nifanye kwa mtaji wangu huu wa millioni moja , niko mwanza pia n mwajiriwa wa serikali asanteeni.
  2. iginoo fokasi

    JamiiForums Msaada; Mwenza wangu anaandamwa na magonjwa mara kwa mara

    ahsanteen sana wakuu kwa mawazo yenu mazurii, nadhan nimefikia kutoa tamko juu ya huyuu shemej yenu/wifi yenu , kwakua anaptia kipind hich kigumu ni muache bila kumuumiza na nijikite kwnye mambo mengine ya kukuza uchumi wangu mpaka pale majaaliwa ya mola atakapo pona na kama itakuwa bhati yangu...
  3. iginoo fokasi

    JamiiForums Msaada; Mwenza wangu anaandamwa na magonjwa mara kwa mara

    CFF ndo nini icho mkuu
  4. iginoo fokasi

    JamiiForums Msaada; Mwenza wangu anaandamwa na magonjwa mara kwa mara

    ndio tumepima wote tuko salama yaan -ve blood test
  5. iginoo fokasi

    JamiiForums Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakuu nnahtaji kuwa mjasiriamali mana hali ya uchumi kwa sasa ni mbaya mnoo , hvyo nna shiling millioni moja naomba ushauri nifanyie biashara gani yenye tija . Ahsanteni
  6. iginoo fokasi

    JamiiForums Msaada; Mwenza wangu anaandamwa na magonjwa mara kwa mara

    Habari za majukumu ya siku nzima na poleni na ugumu wa uchungu wa maisha, Kama kichwa tajwa hpo juu naomba msaada juu ya mweza wangu ambae nimedumu nae mwaka wa tatu huu, tangu mwaka 2017 umeanza huyu nnaetarajia awe mke wangu afya yake imekaa vibaya amekuwa mtu wa kuandawa na magonjwa ya mara...
Back
Top Bottom